EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 22: Matukio Maalumu


“Somo la 22: Matukio Maalumu,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 22,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

vijana wakubwa wakitembea nje

Lesson 22

Special Occasions

Shabaha: Nitajifunza na kuelezea na kuwaalika wengine kwa sherehe za siku za usoni.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: You Are a Child of God

Wewe ni Mtoto wa Mungu

I am a child of God with eternal potential and purpose.

Mimi ni mtoto wa Mungu aliye na uwezekano wa kuwa na kusudi la milele.

Fikiria umejifunza kitu gani kuhusu utambulisho wako kama mtoto wa Mungu. Fikiria kuhusu uhusiano wako na Yeye. Fikiria ni kitu gani Yeye amekufundisha kuhusu dhumuni lako na uwezekano wako wa kuwa. Tafakari juu ya uzoefu ambao umekuwa nao katika kujifunza Kiingereza. Ni kwa jinsi gani umehisi Yeye akikusaidia kufanya mambo ambayo ulifikiria hayawezekani?

Uzoefu wako wa kushirikiana na Mungu katika kujifunza umekuandaa kuwasaidia wengine.

Yesu alitufundisha sisi: “Ninawapa ninyi muwe nuru ya watu hawa. … Kwa hivyo acheni nuru yenu iangaze mbele ya hawa watu, ili wapate kuyaona matendo yenu, na kumtukuza Baba yenu aliye mbinguni” (3 Nefi 12:14, 16).

Unayo nuru nyingi sana ya kuishiriki. Unaweza kuwa mfano wa jinsi Mungu anavyoweza kuwasaidia watoto Wake kujifunza na kuendelea. Unaweza kushiriki jinsi Mungu alivyokusaidia kujifunza Kiingereza. Unaweza kuwasaidia wengine kujifunza kushirikiana na Mungu kufikia uwezekano wao wa kuwa. Unaweza kushiriki nao jinsi wewe ulivyokuja kuamini kauli hii “Mimi ni mtoto wa Mungu aliye na uwezaekano na kusudi la milele.”

Wanawake wawili wakikumbatiana

Ponder

  • Ni kwa jinsi gani wewe unaweza kuwa nuru kwa watu walio karibu nawe?

  • Ni kwa jinsi gani unaweza kuendelea kukuza uhusiano wako na Baba yako wa Mbinguni unapojifunza na kukua?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno mapya katika mazungumzo au katika ujumbe unaoutuma kwa mtu ambaye anajua Kiingereza.

It will be …

Nitakuwa …

It’s going to be …

Itakuja kuwa …

won’t

haitakuwa

Nouns

anniversary party

tafrija ya kumbukizi

birthday party

tafrija ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa

celebration

sherehe

engagement party

tafrija ya kufunga uchumba

graduation party

tafrija ya mahafali

party

tafrija

reception

mapokezi

retirement party

tafrija ya kustaafu

temple

hekalu

wedding

harusi

band

bendi

dancing

kucheza

games

michezo

snacks

vitafunwa

church

kanisa

park

bustani

restaurant

mgahawa

Time

on July 30th

30 Julai

at 7:30 p.m.

mnamo saa 1:30 usiku

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: When is the (noun)?A: It’s (time).

Questions

swali la mpangilio wa 1 lini ni nomino

Answers

jibu la mpangilio wa 1 ni muda

Examples

watu kwenye tafrija nzuri ya chakula cha jioni

Q: When is the reception?A: It’s on June 13th.

Q: What day will the wedding be?A: It’s on May 19th.

wanandoa wameoana hekaluni

Q: Where will the wedding be?A: It will be at the temple.

watu wawili wakisalimiana kwa mikono kwenye tafrija

Q: What time is the party going to be?A: It’s going to be at 7:00 p.m.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kuelewa kanuni katika mipangilio. Fikiria jinsi Kiingereza kinavyofanana na au ni tofauti na lugha yako.

Q: Will there be (noun) at the (noun)?A: Yes, there will be (noun).

Questions

swali la mpangilio wa 2 je, kutakuwa na nomino katika nomino

Answers

jibu la mpangilio wa 2 ndiyo, kutakuwa na nomino

Examples

Q: Will there be snacks at the reception?A: Yes, there will be snacks.

mwanamke katika tafrija ya kustaafu

Q: Will there be a band at the retirement party?A: No, there won’t be a band.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: You Are a Child of God

(20–30 minutes)

Wanawake wawili wakikumbatiana

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Rejelea orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Fanya Igizo. Mwenza A anauliza maswali kuhusu tukio. Mwenza B anajibu maswali na anamwalika Mwenza A kwenye tukio. Badilishaneni nafasi.

New Vocabulary

Do you want to come to the reception with me?

Unataka kuja kwenye tafrija pamoja na mimi?

What time will the reception end?

Ni muda gani tafrija itamalizika?

college president

rais wa chuo

formal dress

mavazi rasmi

share a memory

Shiriki kumbukumbu

Example

watu katika tafrija ya harusi

Wedding Reception for Nora and Lex

Time: 6:00 p.m.–12:00 midnight

Day: Saturday, May 22

Location: Golf Club

Details: There will be dinner, dancing, and fun!

  • A: When will Nora and Lex’s wedding reception be?

  • B: It will be on May 22nd at 6:00 p.m.

  • A: What time will the reception end?

  • B: At midnight.

  • A: Where is it going to be?

  • B: It’s going to be at the golf club.

  • A: Will there be dinner at the reception?

  • B: Yes, there will be dinner. Do you want to come to the reception with me?

  • A: Yes! Thank you!

Event 1

Birthday Party for Pieter

Time: 7:00–8:00 p.m.

Day: Monday, September 3

Location: West Park

Details: There will be cake, games, and a band.

Event 2

Sam’s Graduation

Time: 2:00 p.m.

Day: Sunday, April 12

Location: Central University

Details: Formal dress. The college president will speak. Meet at Sam’s house at 4:00 p.m. afterward for a celebration and snacks.

Event 3

50th Anniversary Party for Jorge and Rosa

Time: 7:00–10:00 p.m.

Day: Friday, August 14

Location: Maria’s house

Details: Please don’t bring gifts. Everyone will share a memory of the couple. There will be lots of food and dancing.

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na ujibu maswali ili kupanga sherehe kwa ajili ya darasa lako la EnglishConnect. Panga kwa maelezo mengi kadiri utakavyoweza. Chukueni zamu.

New Vocabulary

Who will be there?

Ni nani atakuja?

guitar

gitaa

Example

mama na binti wakipiga ukulele
  • A: What day will the celebration be?

  • B: It’s going to be on Friday, August 15th.

  • A: What time is the celebration going to be?

  • B: It will be at 8:00 p.m.

  • A: Where will it be?

  • B: It will be at my house.

  • A: Who will be there?

  • B: The people in our class and their families will be there.

  • A: Will there be music at the celebration?

  • B: Yes! There will be music at the celebration. Ana will bring her guitar.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Talk about future celebrations.

    Zungumzeni kuhusu sherehe za siku za usoni.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Answer questions about future celebrations.

    Jibu maswali kuhusu sherehe za suiku za usoni.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Invite others to future celebrations.

    Waalike wengine kwenye sherehe za siku za usoni.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Mshirikishe mwenzako lengo lako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Kamwe usisahau … kwamba wewe ni mtoto wa Mungu ambaye alirithi kitu fulani cha asili ya uungu Wake, ambaye Yeye anakupenda na anatamani kukusaidia na kukubariki” (Gordon B. Hinckley, “Wewe ni Mtoto wa Mungu,” Liahona, Mei 2003, 119)