2010–2019
Kuwakubali Maofisa wa Kanisa
Oktoba 2018


Kuwakubali Maofisa wa Kanisa

Akina kaka na kina dada, sasa nitawasilisha kwenu Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Eneo, na Urais Mkuu wa Makundi Saidizi wa Kanisa kwa kura yenu ya kuwakubali.

Inapendekezwa kwamba tumkubali Russell Marion Nelson kama nabii, mwonaji, na mfunuzi na Rais wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho; Dallin Harris Oaks kama Mshauri wa Kwanza katika Urais wa Kwanza; na Henry Bennion Eyring kama Mshauri wa Pili wa Urais wa Kwanza.

Wale wanaounga mkono, waoneshe.

Wale wanaopinga, kama wapo, wanaweza kuonyesha.

Inapendekezwa kwamba tumkubali Dallin Harris Oaks kama Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili na Melvin Russell Ballard kama Kaimu Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili.

Wale wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.

Yeyote anayepinga anaweza kuonyesha.

Inapendekezwa kwamba tuwakubali wafuatao kama washiriki wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili: M. Russell Ballard, Jeffrey R. Holland, Dieter F. Uchtdorf, David A. Bednar, Quentin L. Cook, D. Todd Christofferson, Neil L. Andersen, Ronald A. Rasband, Gary E. Stevenson, na Dale G. Renlund, Gerrit W. Gong, na Ulisses Soares.

Wale wanaounga mkono, tafadhali dhihirisheni.

Yeyote anayepinga anaweza kuonyesha.

Imependekezwa kwamba tuwakubali washauri katika Urais wa Kwanza na Akidi ya Mitume Kumi na Wawili kama manabii, waonaji, na wafunuzi.

Wote wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.

Kinyume, kama kuna yeyote, kwa ishara hiyo hiyo.

Inapendekezwa kwamba tumkubali Brook. P. Hales, ambaye ameitwa kutumikia kama Kiongozi Mkuu Mwenye Mamlaka wa Sabini.

Wale wanaounga mkono, tafadhali dhihirisheni.

Wanaopinga, ikiwa wapo, wanaweza kudhihirisha.

Inapendekezwa kwamba tuwapumzishe Mervyn B. Arnold, Craig A. Cardon, Larry J. Echo Hawk, C. Scott Grow, Allan F. Packer, Gregory A. Schwitzer, and Claudio D. Zivic kwa shukrani kwa huduma yao nzuri Wazee kama Kama Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka na kuwapa wadhifa huo wakiwa wamestaafu.

Wale ambao wangependa kuungana nasi katika kutoa shukrani kwa Ndugu hawa kwa huduma yao ya ajabu, tafadhali onyesheni.

Inapendekezwa kwamba tuwapumzishe wafuatao kama sabini wa eneo: B. Sergio Antunes, Alan C. Batt, R. Randall Bluth, Hans T. Boom, Fernando E. Calderón, H. Marcelo Cardus, Paul R. Coward, Marion B. De Antuñano, Robert A. Dryden, Daniel F. Dunnigan, Jeffrey D. Erekson, Mervyn C. Giddey, João Roberto Grahl, Richard K. Hansen, Todd B. Hansen, Michael R. Jensen, Daniel W. Jones, Steven O. Laing, Axel H. Leimer, Tasara Makasi, Alvin F. Meredith III, Adonay S. Obando, Katsuyuki Otahara, Fred A. Parker, José C. Pineda, Gary S. Price, Miguel A. Reyes, Alfredo L. Salas, Netzahualcoyotl Salinas, Michael L. Southward, G. Lawrence Spackman, William H. Stoddard, Stephen E. Thompson, David J. Thomson, George J. Tobias, Jacques A. Van Reenen, Raul Edgardo A. Vicencio, Keith P. Walker, and Daniel Yirenya-Tawiah.

Wale wanaopenda kuungana [pamoja nasi katika kutoa shukrani kwa huduma yao nzuri, tafadhali wadhihirishe

Inapendekezwa kwamba tuwakubali Viongozi Wakuu, Sabini wa Eneo, na Urais Mkuu wa Vikundi Saidizi kama ilivyo sasa.

Wote wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.

Kinyume, kama kuna yeyote, kwa ishara hiyo hiyo.

Wale waliopinga mapendekezo yoyote yale wanapaswa kuwasiliana na rais wao wa kigingi.

Akina kaka na dada, tunashukuru kwa imani na sala zenu endelevu kwa niaba ya viongozi wa Kanisa.