EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Kipengele cha 5: Hitimisho—Kuelezea Afya Yangu


“Kipengele cha 5: Hitimisho—Kuelezea Afya Yangu,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Kipengele cha 5,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

wanafunzi wa chuo wanatabasamu

Unit 5: Conclusion

Describing My Health

Jionee fahari wewe mwenyewe kwa kukamilisha kipengele cha 5! Orodha ya vitu unavyoweza kuzungumzia kwa Kiingereza inaendelea kukua. Sasa unaweza kuwa na mazungumzo na wengine kuhusu sikukuu, mipango ya baadae, likizo, afya, maradhi, na majeraha. Hii inapendeza! Endelea kuomba msaada wa Mungu, na songa mbele ukamilishe malengo yako.

Evaluate

Evaluate Your Progress

Chukua muda utafakari na kusherehekea yote ambayo wewe umetimiza.

I can:

  • Describe holiday traditions.

    Elezea desturi za likizo.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Describe future events.

    Elezea matukio ya siku za usoni.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Describe how I feel.

    Elezea jinsi unavyojisikia.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Give health advice.

    Toa ushauri wa kiafya.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Ili kufuatilia maendeleo yako zaidi, nenda kwenye englishconnect.org/assessments na ukamilishe upimaji wa hiyari kwa ajili ya kipengele hiki.

Evaluate Your Efforts

Pitia tena juhudi zako kwa ajili ya kipengele hiki katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.” Je, unafanya maendeleo kuelekea kwenye dhumuni lako? Unaweza kufanya nini tofauti ili kufikia malengo yako?

Endelea kufanya mazoezi ya Kiingereza kila siku unapojiandaa kwa ajili ya EnglishConnect 3.

Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi EnglishConnect inavyoweza kupanua fursa zako, tembelea englishconnect.org.