EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 21: Afya na Majeraha


“Somo la 21: Afya na Majeraha,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 21,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

Vijana wanatabasamu nje

Lesson 21

Health and Injuries

Lengo: Nitajfunza kusimulia kuhusu majeraha.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Counsel with the Lord

Shauriana na Bwana

I improve my learning by counseling with God daily about my efforts.

Ninaweza kuboresha kujifunza kwangu kwa kushauriana na Mungu kila siku kuhusu juhudi zangu.

Yesu Kristo alikuwa anafundisha kundi la watu wakati kijana alipomjia Yeye na kumuuliza alihitaji kufanya nini ili aendelee. Swali hili ambalo kijana yule aliuliza ni swali ambalo kila mmoja wetu anaweza kuuliza tunaposhauriana na Baba wa Mbinguni ili tuweze kuwa bora:

“Nimepungukiwa na nini tena?” (Mathayo 19:20).

Unaweza kuuliza swali hilo hilo katika sala. Tunasali kwa Mungu katika jina la Mwana Wake, Yesu Kristo. Kwa msaada wa Mungu, unaweza kutambua mapengo katika kujifunza kwako na kutatufa kuyaziba. Kwa mfano kama unasumbuka na kuongea kwa ufasaha, unaweza kutenga dakika 10 za kufanya mazoezi ya kuongea bila kujali kuhusu makosa. Au kama unafanya makosa mengi, unaweza kutenga dakika 10 za kufanya mazoezi kuongea pole pole na kwa umakini. Kushauriana na Bwana kunaweza kukusaidia kuelewa ni hatua gani ndogo ndogo unazohitaji kuchukua ili kufikia maelengo yako.

wanandoa wakisali

Ponder

  • Unaposhauriana na Mungu, ni mapengo gani unayaona katika kujifunza kwako?

  • Je, ni hatua zipi ndogo unayoweza kuweka ili kuziba mapengo haya?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kuwekalebo kwenye vitu katika nyumba yako ili ikukusaidia wewe kukumbuka maneno ya Kiingereza.

Nouns

ankle/ankles

Kifundo cha mguu/vifundo vya miguu

arm/arms

mkono/mikono

eye/eyes

jicho/macho

foot/feet

mguu/miguu

hand/hands

mkono/mikono

head

kichwa

knee/knees

goti/magoti

leg/legs

mguu/miguu

nose

pua

shoulder/shoulders

bega/mabega

tooth/teeth

jino/meno

wrist/wrists

kifundo cha mkono/vifundo vya mikono

Verbs Present/Verbs Past

break/broke

vunja/iliyovunjika

bruise/bruised

mchubuko/amechubuliwa

burn/burned

choma/alichomwa

cut/cut

kata/kata

hurt/hurt

umia/umia

sprain/sprained

teguka/aliteguka

Time

last week

wikiiliyopita

three days ago

siku tatu zilizopita

yesterday

Jana

Ona somo la 11 kwa ziada times.

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: What happened to your (noun)?A: I (verb past) my (noun).

Questions

swali la mpangilio wa 1 nini kimetokea kwenye nomino yako

Answers

jibu la mpangilio wa 1 mimi kitenzi kilichopita nomino yangu

Examples

ameumia kifundo cha mguu

Q: What happened to your ankle?A: I broke my ankle.

daktari akiuchunguza mguu wa mgonjwa

Q: What happened to his knee?A: He sprained his knee.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kutambua mipangilio hii wakati wa mazoezi yako ya kila siku.

Q: When did you (verb present) your (noun)?A: I (verb past) it (time).

Questions

swali la mpangilio wa 2 lini wewe ulifanya kitenzi wakati ulipop nomino yangu

Answers

jibu la mpangilio wa 2 mimi nita kitenzi katika wakati uliopita

Examples

Mkono ulio ungua vibaya

Q: When did you burn your arm?A: I burned it last week.

Q: When did she hurt her wrist?A: She hurt it yesterday.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathimini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Counsel with the Lord

(20–30 minutes)

wanandoa wakisali

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Igiza kila jeraha kwenye orodha Mwenza B amejeruhiwa. Mwenza A ni daktari anaye uliza maswali na anatoa ushauri. Tumia mipangilio na msamiati kutoka kwenye somo hili na somo la 20. Sema mengi kadri uwezavyo. Badilisha nafasi.

New Vocabulary

back

mgongo

finger/fingers

kidole/vidole

What happened?

Nini kilitokea?

mwanaume mwenye maumivu ya mgongo

Example

  • A: What happened?

  • B: I hurt my shoulder.

  • A: When did you hurt your shoulder?

  • B: I hurt it two days ago. What should I do?

  • A: You should take medicine and rest. You shouldn’t exercise.

  • B: OK. Thank you.

List of Injuries

  • broken leg

  • bruised knee

  • burned hand

  • cut finger

  • hurt back

  • sprained ankle

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Fanya igizo la kila hali. Mwenza B ameumia. Mwenza A ni rafiki ambaye anauliza maswali. Tumia maneno ya msamiati katika kila hali. Tumia msamiati kutoka kwenye somo hili na somo la 20. Toa ushauri mzuri na ushauri mbaya. Badilishaneni nafasi.

Wanaume wawili wanamtembelea mwanaume mwenye mguu ulio jeruhiwa.

Example:

You fell down the stairs.

Ulianguka chini kwenye ngazi.

Vocabulary Words: leg, arm

  • A: What happened to your leg and your arm?

  • B: I broke my leg and my arm.

  • A: When did you break them?

  • B: I broke them last week.

  • A: What happened?

  • B: I was walking. I felt dizzy. I fell down the stairs.

  • A: How are you feeling?

  • B: I feel exhausted.

Situation 1

You got in a car accident.

Ulipata ajali ya gari.

Vocabulary Words: knee, wrist

Situation 2

You got hurt playing soccer.

Uliumia ukicheza sokataka/alitaka kucheza soka

Vocabulary Words: head, nose

Situation 3

You fell off a ladder.

Ulianguka kutoka kwenye ngazi

Vocabulary Words: eye, tooth

Situation 4

You burned yourself while cooking.

Uliungua wakati wa kupika.

Vocabulary Words: hand, finger

Situation 5

You lifted a heavy box.

Uliinua boksi zito.

Vocabulary Words: back, shoulder

Situation 6

You fell while running.

Ulianguka wakati unakimbia.

Vocabulary Words: foot, ankle

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask about others’ injuries.

    Uliza kuhusu majeraha mengine.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about my and others’ injuries.

    Zungumza kuhusu majeraha yangu na ya wengine.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Roho Mtakatifu atatusukuma tuboreshe na atatuongoza kwenda nyumbani, lakini tunahitaji kumuuliza Bwana maelekezo tukiwa njiani” (Larry R. Lawrence, “Nimepungukiwa na Nini Tena?,” Liahona, Nov. 2015, 33).