EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 18: Sikukuu


“Somo la 18: Sikukuu,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 18,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

familia wakila tikitimaji

Lesson 18

Holidays

Shabaha: Nitajfunza kuelezea desturi za sikukuu na mipango.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: You Are a Child of God

Wewe ni Mtoto wa Mungu

I am a child of God with eternal potential and purpose.

Mimi ni mtoto wa Mungu aliye na uwezekano wa kuwa na kusudi la milele.

Wewe ni mtoto mpendwa wa Mungu. Unayo thamani na uwezekano wa milele. Tunajifunza zaidi kuhusu hili kutoka katika Kitabu cha Mormoni. Tunasoma kuhusu wakati ambapo Yesu Kristo alikuwa anawafundisha na kuwabariki watu. Yeye alitumia muda kumbariki kila mtu, mmoja mmoja. Yeye alitumia muda kuwabariki na kuwafundisha watoto wao.

Yeye alipowabariki watoto wadogo, kitu fulani cha kushangaza kilitokea: [Yesu Kristo] aliwapatia uwezo wa kuongea, na waliwazungumzia baba zao vitu vikubwa na vya ajabu, … na alifungua ndimi zao kwamba wangezungumza” (3 Nefi 26:14).

Watoto wadogo walifundisha watu mambo makubwa na ya ajabu. Hawa watoto wadogo walikuwa na uwezekano mkubwa sana, na Yesu Kristo aliwasaidia kuona uwezekano wao. Mungu anaweza kukusaidia uone uwezekano wako wa kuwa. Unayo mengi sana ya kutoa. Unalo dhumuni, na Mungu anaweza kukuonyesha kile kinachowezekana wakati unapotafuta msaada Wake. Kama vile Yesu Kristo alivyowapa watoto uwezo wa kuongea, Mungu anaweza kufungua ulimi wako pia. Yeye anaweza kukusaidia kuongea. Yeye anaweza kukusaidia wewe uamini katika uwezekano wako wa milele.

Kristo pamoja na watoto

Ponder

  • Ni nini kinakusaidia wewe kuamini katika uwezekano wako wa milele?

  • Ni hofu gani inakuzuia katika kuamini kwamba wewe unaweza kuongea Kiingereza.

  • Ni kwa jinsi gani unaweza kutafuta msaada wa Mungu kwa ajili ya ujasiri wa kushinda hofu yako na kuongea mara nyingi zaidi?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kujifunza maneno zaidi ambayo unaweza kutumia katika mipangilio.

Nouns

Christmas

Krismasi

Diwali

Diwali

Easter

Pasaka

Independence Day

Siku ya Uhuru

Lunar New Year

Mwaka Mpya wa Lunar

New Year’s Eve

Mkesha wa Mwaka Mpya

Ramadan

Ramadhani

Yom Kippur

Yom Kippur

Verbs

give gifts

Toa zawadi

go to a party

Nenda kwenye tafrija

go to bed early

lala mapema

have a big meal

kuwa na karamu

make a cake

tengeneza keki

spend time with family

Tumia muda na familia

stay home

Kaa nyumbani

visit friends

tembelea marafiki

watch fireworks

tazama kazi za baruti

Adverbs

always

daima

usually

kwa kawaida

sometimes

mara kadha wa kadha

never

kamwe

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: What do you (adverb) do for (noun)?A: I (adverb) (verb).

Questions

swali la mpangilio wa 1 wewe kielezi unafanya nini kwa jina

Answers

jibu la mpangilio wa 1 mimi kielezi kitenzi

Examples

Kusherehekea kurushwa kwa baruti

Q: What do you usually do for New Year’s Eve?A: We usually watch fireworks.

familia wakila chakula pamojai

Q: What does he always do for Christmas?A: He always spends time with family.

Q: What do you never do for Lunar New Year?A: I never stay home for Lunar New Year.

Q: What does she do for Easter?A: She sometimes makes a cake.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kutambua mipangilio hii wakati wa mazoezi yako ya kila siku.

Q: What will you do on (noun)?A: I will probably (verb) on (noun).

Questions

swali la mpangilio wa 2 wewe utafanya nini siku ya nomino

Answers

jibu la mpangilio wa 2 mimi pengine nita kitenzi siku ya nomino

Examples

mwanaume amelala kitandani

Q: What will you do on New Year’s Eve?A: I will probably go to bed early on New Year’s Eve.

Q: What will she do on Christmas?A: She will visit friends on Christmas.

Q: What will they do on Independence Day?A: They probably won’t go to a party.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: You Are a Child of God

(20–30 minutes)

Kristo na watoto

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tazama orodha ya watu hapo chini na sikukuu za pendwa. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila mtu anafanya katika sikukuu hiyo na pengine watafanya nini mwaka huu. Kuwa mbunifu! Chukueni zamu.

Example: Adriana: New Year’s Eve

Marafiki wakifurahia tafrija na sherehe
  • A: What does Adriana usually do for New Year’s Eve?

  • B: She usually goes to a party.

  • A: What else does Adriana do for New Year’s Eve?

  • B: She always goes to bed late.

  • A: What will she do on New Year’s Eve this year?

  • B: She will probably stay home and play games with her family.

People and Holidays

Nora: Independence Day

Jin: Christmas

Mei: Lunar New Year

Avi: Easter

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na ujibu maswali kuhusu mipango yako kwa sikukuu inayokuja. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

New Vocabulary

Do you usually have turkey?

Je, kwa kawaida unakuwa na bata mzinga?

Yes, we do.

Ndio.

No, we don’t.

Hapana, hatufanyi hivyo.

buy a Christmas tree

unanunua mti wa krismasi

Example

Mti wa krismasi
  • A: What will you do on Christmas this year?

  • B: I will probably visit my family.

  • A: Will you buy a Christmas tree?

  • B: No, I probably won’t buy a Christmas tree.

  • A: Will you have a special dinner?

  • B: Yes, we will probably have a special dinner.

  • A: Do you usually have turkey?

  • B: No, we don’t. We always make tamales.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Talk about what I and others usually do on holidays.

    Zungumza kuhusu ni nini mimi na wengine kwa kawaida tunafanya siku za sikukuu.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about what I and others plan to do on a holiday.

    Zungumza kuhusu ni nini mimi na wengine tunapanga siku za sikukuu.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Kwa sababu sisi ni watoto wa kiroho wa Mungu, kila mmoja ana chimbuko la kiungu, asili na uwezekano wa kuwa. Kila mmoja wetu ‘ni mwana au binti mpendwa wa kiroho wa wazazi wa mbinguni’ [“Familia: Tangazo kwa Ulimwengu,” ChurchofJesusChrist.org]. Huu ndio utambulisho wetu! Hii ndivyo kweli tulivyo! (M. Russell Ballard, “Tumaini katika Kristo,” Liahona, Mei 2021, 54).