EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 14: Kununua Chakula


“Somo la 14: Kununua Chakula,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 14,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

vijana wakubwa wanacheka

Lesson 14

Shopping for Food

Shabaha: Nitajifunza kuuliza na kujibu maswali kuhusu bei ya hewa.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: You Are a Child of God

Wewe ni Mtoto wa Mungu

I am a child of God with eternal potential and purpose.

Mimi ni mtoto wa Mungu aliye na uwezekano wa kuwa na kusudi la milele.

Wewe ni binti au mwana wa Baba wa Mbingunimwenye upendo. Yeye atakuongoza. Kwa msaada wake, unaweza kufanya zaidi kuliko ambavyo ungeweza kufanya wewe mwenyewe. Katika Kitabu cha Mormoni, tunajifunza kuhusu mvulana aliyeitwa Nefi ambaye alikuja kuwa nabii-kiongozi wa watu wake. Mungu alitaka kumwongoza Nefi na familia yake hadi kwenye nchi mpya. Nchi hii ilikuwa ng’ambo ya bahari, na Nefi alipaswa kujenga mashua. Hakuwahi kujenga mashua kabla. Kaka zake hawakuamini angeweza kufanya hivyo. Nefi alimtegemea Mungu kwa ajili ya maelekezo.

Nefi aliwaambia kaka zake, “ikiwa [Mungu] … amefanya miujiza mingi miongoni mwa watoto wa watu, je, kwa nini hawezi kunishauri, kwamba nijenge merikebu?” (1 Nefi 17:51).

Kwa msaada wa Mungu, Nefi na familia yake walijenga merikebu na kufanya safari iliyo ngumu ya kuvuka bahari. Kama tu vile Mungu alivyomsaidia Nefi, Mungu anataka kukusaidia wewe. Unaweza kusali kwa ajili ya kupata maelekezo. Unaweza kusali ili kuelewa na kukumbuka kitu unachojifunza. Unaposali, kuwa msikivu kwa ajili ya mawazo na hisia ambazo zitakuja. Kisha tenda kwa imani. Unaweza kufanya zaidi kwa msaada Wake kuliko bila msaada huo.

msichana akisali

Ponder

  • Je, safari yako ya kujifunza Kiingereza inafananaje na hadithi ya Nefi kujenga merikebu?

  • Unapojifunza Kiingereza, unaweza kumuomba Mungu kitu gani ili akusaidie?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kuweka lebo kwenye vitu katika nyumba yako ili kukusaidia wewe kukumbuka maneno ya Kiingereza.

How much is this?

Hiki ni bei gani?

Price

one dollar

dola moja

two dollars

dola mbili

Ona kiambatisho hiki kwa ziada numbers na currency.

Nouns 1

bag

mfuko

bowl

bakuli

box

boksi

bunch

fungu

head

kichwa

kilo

kilo

liter

lita

loaf

mkate

pound

paundi

Nouns 2

lettuce

saladi

milk

maziwa

rice

mchele/wali

Nouns 3

apple/apples

tufaa/matufaa

carrot/carrots

karoti/karoti

mango/mangoes

embe/maembe

tomato/tomatoes

nyanya/nyanya

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: How much is a (noun 1) of (noun 2)?A: It’s (price) a (noun 1).

Questions

swali la mpangilio wa 1 nomino ni kiasi ganicha nomino 1.

Answers

jibu la mpangilio wa 1 bei yake ni nomino 2

Kumbuka: Tumia mipangilio hii kwa vyakula ambavyo kwa kawaida huhesabu.

Examples

Gunia la mchele/mpunga

Q: How much is a bag of rice?A: It’s three dollars a bag.

Q: How much is the lettuce?A: It’s one dollar a head.

Chupa za maziwa

Q: How much is the milk?A: It’s two dollars.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kutambua mipangilio hii wakati wa mazoezi yako ya kila siku.

Q: How much are these (noun 3)?A: They’re (price) a (noun 1).

Questions

swali la mpangilio wa 2 hii nomino ni kiasi gani

Answers

jibu la mpangilio wa 2 bei yake ni nomino 2

Kumbuka: Tumia mipangilio hii kwa chakula unachoweza kuhesabu.

Examples

nyanya

Q: How much are these tomatoes?A: They’re two dollars a pound.

karoti

Q: How much are those carrots?A: They’re three dollars a bunch.

Q: How much is this mango?A: It’s one dollar.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: You Are a Child of God

(20–30 minutes)

msichana akisali

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu bei za chakula mahali wewe unaishi. Chukueni zamu.

New Vocabulary

fish

samaki

flour

unga

banana/bananas

ndizi/ndizi

egg/eggs

yai/mayai

Example

Vyupa vya maziwa
  • A: How much is the milk?

  • B: It’s three dollars a liter.

Image 1

mayai

Image 2

ndizi

Image 3

samaki

Image 4

nyanya

Image 5

unga

ikoni 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Fanya Igizo. Mwenza A ni mteja. Mwenza B anauza vyakula sokoni. Mwenza B ana dola 25 za kutumia. Mwenza B anachagua bei na kuuza chakula. Uliza na ujibu maswali kuhusu vyakula katika kila picha. Badilishaneni nafasi.

New Vocabulary

I want two bunches.

Mimi nataka mafungu mawili.

That’s two dollars.

Hiyo ni dola mbili.

bread

mkate

cheese

jibini

meat

nyama

Example

a bunch

karoti
  • A: Excuse me. How much is a bunch of carrots?

  • B: They’re one dollar a bunch.

  • A: OK. I want two bunches.

  • B: That’s two dollars.

Image 1

a bag

gunia la mchele

Image 2

a pound

nyama mbichi

Image 3

a kilo

jibini

Image 4

a head

saladi

Image 5

a loaf

mikate miwili

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Talk about shopping for food.

    Zungumzia kuhusu kununua chakula.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Ask how much something costs.

    Uliza kitu kinagharimu kiasi gani cha pesa.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Say how much something costs.

    Sema kitu fulani kinagharimu kiasi gani cha pesa.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Bwana anakujua na anakupenda. … Yeye atakuongoza na kukuelekeza wewe katika maisha yako binafsi ikiwa utatenga muda kwa ajili Yake katika maisha yako—kila siku” (Russell M. Nelson, “Tenga Muda kwa ajili ya Bwana,” Liahona, Nov. 2021, 121).