EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Kipengele cha 4: Hitimisho—Kuzungumza kuhusu Jumuiya Yangu


“Kipengele cha 4: Hitimisho—Kuzungumza kuhusu Jumuiya Yangu,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Kipengele cha 4,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

mtu akitabasamu akiwa na mwamvuli

Unit 4: Conclusion

Talking about My Community

Tazama ni umbali gani umekuja! Sasa uko zaidi ya nusu kuelekea kumaliza EnglishConnect 2! Fikiria juu ya ni kiasi gani wewe umejifunza Unaweza kuzungumza kuhusu matukio yaliyopita, ya sasa, na ya baadaye. Hii ni ya kupendeza! Endelea kufanya vyema zaidi na shirikiana na Mungu unapoendelea kujifunza Kiingereza.

Evaluate

Evaluate Your Progress

Chukua muda utafakari na kusherehekea yote ambayo wewe umetimiza.

I can:

  • Describe things for sale.

    Elezea vitu vya kuuza.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Give directions.

    Toa mwelekeo.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Describe future events.

    Elezea matukio ya siku za usoni.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Ili kufuatilia maendeleo yako zaidi, nenda kwenye englishconnect.org/assessments na ukamilishe upimaji wa hiyari kwa ajili ya kipengele hiki.

Evaluate Your Efforts

Pitia tena juhudi zako kwa ajili ya kipengele hiki katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.” Je, unafanya maendeleo kuelekea kwenye dhumuni lako? Unaweza kufanya nini tofauti ili kufikia malengo yako?

Endelea kufanya mazoezi ya Kiingereza kila siku unapojiandaa kwa ajili ya EnglishConnect 3.

Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi EnglishConnect inavyoweza kupanua fursa zako, tembelea englishconnect.org.