EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 16: Katika Jumuiya


“Somo la 16: Katika Jumuiya,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 16,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

baba na wana

Lesson 16

In the Community

Shabaha: Nitajfunza kuelezea maeneo katika jiji.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Take Responsibility

Wajibika

I have the power to choose, and I am responsible for my own learning.

Nina uwezo wa kuchagua, na ninawajibika kwa ajili ya kujifunza kwangu mwenyewe.

Yesu Kristo alishiriki hadithi kuhusu mtu tajiri ambaye alitoa fedha fulani kwa watumishi watatu. Watumishi wawili wa kwanza walitumia fedha kwa hekima na kuzalisha. Mtumishi wa tatu alikuwa na uoga. Alizificha fedha ili kwamba yeye asije akaipoteza. Mtu yule tajiri alihuzunishwa na yule mtumishi wa tatu lakini alifurahishwa na wawili wa kwanza. Aliwaambia watumishi wawili wa kwanza.

“Vema, mtumishi mwema na mwaminifu: umekuwa mwaminifu katika mambo madogo, nitakufanya kuwa mtawala juu ya mambo mengi; ingia katika furaha ya Bwana wako” (Mathayo 25:21).

Fikiria kuhusu karama ambazo Baba wa Mbinguni amekupatia. Pengine umepatiwa uwezo wa kujifunza vyema au kuwa na subira na wengine. Unaweza kuwa na imani kubwa au ujasiri wa kuzungumza. Wajibika kwa ajili ya karama hizi na uzikuze. Fikiria jinsi ya kuzitumia ili kuwasaidia wengine. Pia, unaweza kuchagua kukuza karama mpya. Unaweza kutafuta karama za kiroho kwa kutumia imani katika Mungu, ukifanyia mazoezi, na kuzitumia ili kuwasaidia wengine. Mungu atakuongoza pale unapotafuta kukuza karama zako.

Kristo anatabasamu

Ponder

  • Je, Karama zako ni zipi?

  • Ni kwa jinsi gani unaweza kutumia karama zako ili kujifunza Kiingereza?

  • Ni kwa jinsi gani karama hizi zinaweza kuwasaidia marafiki zako katika EnglishConnect?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo.

Do you know where … ?

Unafahamu … ?

Is there … ?

Kuna … ?

Nouns

airport

uwanja wa ndege

bank

benki

bookstore

duka la vitabu

bus stop

Kituo cha basi

grocery store

duka la vyakula

hospital

hospitali

house

nyumba

post office

ofisi ya posta

restaurant

mgahawa

school

shule

city

jiji

neighborhood

ujirani

town

mji

Prepositions

across from

ng’ambo kutoka

behind

nyuma

between

katikati ya

down the street from

mwisho wa mtaa kutoka

far away from

mbali kutoka

in

ndani

in front of

mbele ya

near

karibu

next to

karibu na

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: Do you know where the (noun) is?A: It is (preposition) the (noun).

Questions

swali la mpangilio wa 1 unajua mahali nomino ilipo

Answers

jibu la mpangilio wa 1 ni kihusishi ni nomino

Examples

Ramani ya duka upende wa pili wa hospitali

Q: Do you know where the hospital is?A: Yes. It is across from the bookstore.

ramani ya mkahawa karibu na benki

Q: Where is the restaurant?A: It’s next to the bank.

Q: Where’s the school?A: It’s between the restaurant and the post office.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kutumia mipangilio katika mazungumzo na rafiki. Ungeweza kuzungumza au kutuma jumbe.

Q: Is there a (noun) (preposition) your (noun)?A: There is a (noun) (preposition) my (noun).

Questions

swali la mpangilio wa 2 je, kuna nomino kihusishi nomino yako

Answers

jibu la mpangilio wa 2 kuna nomino kihusishi nomino yangu

Examples

Q: Is there a bus stop in your neighborhood?A: There is a bus stop down the street from my house.

Ramani ya duka la vyakula karibu na benki

Q: Is there a grocery store in the town?A: There is a grocery store near the bank.

Q: Is there an airport in your city?A: No, there isn’t an airport in my city.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Take Responsibility

(20–30 minutes)

Kristo anatabasamu

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Chagua mahali kwenye ramani. Usimwambie mwenzako ni sehemu gani unamchagua. Uliza na ujibu maswali ili kukisia sehemu. Chukueni zamu.

New Vocabulary

bakery

duka la mikate

church

kanisa

farm

shamba

park

bustani

train station

kituo cha treni

Mkusanyiko wima wa mchoro wa ujenzi wa jiji

Example

  • A: Is it near the school?

  • B: Yes, it’s near the school.

  • A: Is it far away from the train station?

  • B: Yes, it’s far away from the train station.

  • A: Is it next to the restaurant?

  • B: No, it’s not next to the restaurant.

  • A: Is it the grocery store?

  • B: Yes! It’s the grocery store.

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na ujibu maswali kuhusu jiji unaojua. Chukueni zamu.

New Vocabulary

movie theater

ukumbi wa sinema

police station

kituo cha polisi

Example

  • A: Is there a movie theater in Curitiba?

  • B: Yes, there is a movie theater.

  • A: Where is the movie theater?

  • B: It’s next to the police station.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask about different locations.

    Uliza kuhusu maeneo mbali mbali.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about where places are.

    Zungumza kuhusu mahali maeneo yalipo.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Fanya mazoezi kila siku.

Weka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Mungu ametupatia kila mmoja wetu talanta maalumu moja au zaidi. … Ni jukumu la kila mmoja wetu kutafuta na kuendeleza karama ambazo Mungu ametupatia. Ni lazima sisi tukumbuke kwamba kila mmoja wetu ameumbwa katika sura ya Mungu, kwamba hakuna watu wasio na umuhimu. Kila mmoja ni muhimu kwa Mungu na watu wenzake (Marvin J. Ashton, “There Are Many Gifts.Ensign, Nov. 1987, 20).