“Kipengele cha 2: Utambulisho—Kuelezea Familia na Vitu,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Kipengele cha 2: Utambulisho,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi
Unit 2: Introduction
Describing Family and Things
Objectives
I will learn to:
-
Describe my family.
Elezea familia yangu.
-
Identify common items.
Tambua vitu vya kawaida.
-
Talk about clothing and colors.
Zungumzia kuhusu mavazi na rangi.
-
Express likes and dislikes.
Onyesha unavyopenda na usivyopenda
-
Apply principles of learning by study and by faith.
Tumia kanuni za kujifunza kwa kusoma na kwa imani.