“Kipengele cha 1: Hitimisho—Kuelezea Familia na Vitu,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Kipengele cha 2: Hitimisho,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi
Unit 2: Conclusion
Describing Family and Things
Vyema sana! Umekamilisha kipengele cha 2! Unaweza kupata kumjua mtu kwa undani zaidi kwa kuzungumza nao kuhusu familia zao, mavazi, vitu wavipendavyo na vitu wasivyopenda.
Evaluate
(5–10 minutes)
Chukua muda kutafakari na kusherehekea yote ambayo wewe umetimiza.
Evaluate Your Progress
I can:
-
Describe myself and my family.
kujielezea kuhusu mimi mwenyewe na familia yangu
-
Identify common items.
Tambua vitu vya kawaida.
-
Talk about clothing and colors.
Zungumza kuhusu mavazi na rangi.
-
Express likes and dislikes.
Onyesha unavyopenda na usivyopenda
Ili kufuatilia maendeleo yako zaidi, nenda kwenye englishconnect.org/assessments na ukamilishe upimaji wa hiyari kwa ajili ya kipengele hiki.
Evaluate Your Efforts
Pitia tena juhudi zako kwa ajili ya kipengele hiki katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.” Je, unafanya maendeleo kuelekea kwenye madhumuni yako? Unaweza kufanya nini tofauti ili kufikia malengo yako?
Endelea kufanya mazoezi ya Kiingereza kila siku unapojiandaa kwa ajili ya EnglishConnect 2.
Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi EnglishConnect inavyoweza kupanua fursa zako, tembelea englishconnect.org.