Maandiko Matakatifu
Moroni 5


Mlango wa 5

Njia ya kutoa divai ya sakramenti inaelezwa. Karibia mwaka 401–421 B.K.

1 aNjia ya kubariki divai—Tazama, walichukua kikombe, na kusema:

2 Ee Mungu, Baba wa Milele, tunakuomba katika jina la Mwanao, Yesu Kristo, ubariki na utakase adivai hii kwa roho za wale wote watakaoinywa, ili waweze kufanya hivi kwa bukumbusho wa damu ya Mwanao, ambayo ilimwagwa kwa ajili yao; kwamba washuhudie kwako, Ee Mungu, Baba wa Milele, kwamba daima wamkumbuke, ili Roho wake apate kuwa pamoja nao. Amina.