“Kiambatisho: Kusali kwa Kiingereza,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Kusali kwa Kiingereza,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi
Appendix
Praying in English
Kusali kwa Kiingereza
Anza kila mkutano wa kikundi kwa kusali katika Kiingereza. Kusali humwalika Roho ili akusaidie mnapojifunza Kiingereza kwa pamoja. Ili kujifunza zaidi kuhusu sala, ona “Sala” katika “Principle of Learning Glossary” na “Jinsi ya Kusali” kwenye ChurchofJesusChrist.org/ComeuntoChrist/believe/god/how-to-pray.
Unaweza kutumia msamiati na mipangilio ifuatayo ili kuanza kusali kwa Kiingereza.
Example
Dear Heavenly Father,
We ask Thee …
We thank Thee for …
In the name of Jesus Christ, amen.
Memorize Vocabulary
|
Dear Heavenly Father |
Baba Mpendwa wa Mbinguni |
|
In the name of Jesus Christ, amen. |
Katika jina la Yesu Kristo, ameni. |
Nouns
|
blessings |
baraka |
|
teacher |
mwalimu |
|
group |
kikundi |
|
family/families |
familia |
Verbs
|
learn |
jifunze |
|
speak |
ongea |
|
teach |
fundisha |
|
bless |
bariki |
|
press forward |
songa mbele |
Practice Pattern 1
We thank Thee for our (noun).
Examples
We thank Thee for our group.
I thank Thee for my family.
Practice Pattern 2
We ask Thee to help us (verb).
Examples
We ask Thee to help us learn.
I ask Thee to help me speak English.