EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 15: Kununua kwa Ulinganishaji


“Somo la 15: Kununua kwa Ulinganishaji,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 15,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

familia ikitabasamu nje

Lesson 15

Comparison Shopping

Lengo: Nitajfunza kulinganisha vitu.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Exercise Faith in Jesus Christ

Tumia imani katika Yesu Kristo.

Jesus Christ can help me do all things as I exercise faith in Him.

Yesu Kristo anaweza kunisaidia kufanya mambo yote ninapotumia imani Kwake.

Wanafunzi wa Yesu Kristo walikuwa kwenye mashua. Upepo ulikuwa mkali, na mawimbi yalikuwa makubwa. Katikati ya hili, walimwona Yesu akitembea kuja kwao juu ya maji. Mmoja wa wanafunzi Wake, Petro, alimuuliza Yesu kama angeweza kutembea ili kukutana na Yeye juu ya maji. Yesu alimwalika Petro kufanya kitu kilichoonekana kama hakiwezekani.

Biblia hutuambia kile kilichofuatia: “Na wakati Petro aliposhuka kutoka chomboni, akaenda kwa miguu juu ya maji, ili kumwendea Yesu.

“Lakini alipouona upepo mkali, aliogopa; na kuanza kuzama, alipiga yowe, akisema, Bwana, niokoe.

“Mara Yesu akanyoosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imanihaba, mbona uliona shaka?” Mathayo 14:29–31.

Hapo mwanzo, Petro alitenda kwa imani, na kimiujiza alianza kutembea juu ya maji. Lakini wakati alipoacha kumtazama Yesu na kuanza kuutazama upepo, alianza kuzama. Kama vile Petro, kama unafokasi juu ya uoga wako, unaweza kutaka kuacha. Badala yake, wewe unaweza kufokasi kwa Yesu. Kujifunza lugha mpya inaweza kuonekana haiwezekani. Amini kwamba Yesu Kristo anaweza kukusaidia kufanya mambo ambayo yanaonekana hayawezekani.

Kristo akimfikia Petro juu ya maji.

Ponder

  • Ni baadhi ya njia gani unaweza kufokasi imani yako katika Yesu Kristo wakati unapozidiwa au kuvunjika moyo?

  • Ni kwa jinsi gani imani yako katika Yesu Kristo imekua tangu ulipoanza EnglishConnect?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno hayo katika maisha yako. Fikiria kuhusu lini na wapi ungeweza kutumia maneno haya.

than

kuliko

which

lipi

Nouns

bike/bikes

baiskeli/baiskeli

car/cars

gari/magari

chair/chairs

kiti/viti

phone/phones

simu/simu

shoe/shoes

kiatu/viatu

Adjectives 1

big/bigger

kubwa/kubwa zaidi

cheap/cheaper

rahisi/rahisi zaidi

good/better

nzuri/bora

new/newer

mpya/mpya zaidi

nice/nicer

nzuri/nzuri zaidi

old/older

mzee/mzee zaidi

safe/safer

Salama /salama zaidi

small/smaller

ndogo/ndogo zaidi

tight/tighter

bana/bana zaidi

Adjectives 2

affordable

inawezekana

comfortable

Yenye faraja

dangerous

Ya hatari

expensive

ghali

high-tech

Teknolojia-ya hali ya juu

Ona kiambatisho kwa ajii ya color adjectives.

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: Which (noun) is (adjective 1)?A: That (adjective 1 or 2) (noun) is (adjective 1) than this (noun).

Questions

swali la mpangilio wa 1 je, nomino ipi ni kivumishi 1

Answers

Jibu la mpangilio wa 1 ni kwamba kivumishi 1 au 2 ni nomino ni kivumishi 1 zaidi kuliko nomino hii

Examples

mtu ameshikilia simu ya mkononi

Q: Which phone is cheaper?A: That old phone is cheaper than this phone.

Q: Which chair is nicer?A: That blue chair is nicer than this one.

Q: Which shoes are bigger?A: Those shoes are bigger than these shoes.

mtu ameshikilia baiskeli

Q: Which bike is safer?A: The new bike is safer.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kusema mipangilio kwa sauti. Fikiria kujirekodi mwenyewe. Zingatia matamshi yako na ufasaha wako.

Q: Which (noun) is less (adjective 2)?A: That (adjective 1 or 2) (noun) is less (adjective 2) than this (noun).

Questions

Swali la mpangilio 2 ni nomino ipi si kivumishi sana 2

Answers

jibu la mpangilio wa 2 ni kwamba kivumishi 1 au 2 ni nomino iliyo kivumishi kidogo kuliko nomino hii

Examples

gari la zamani jeupe
gari jipya la bluu

Q: Which car is less expensive?A: That white car is less expensive than this one.

Q: Which bike is more affordable?A: That bike is more affordable than this bike.

Q: Which chairs are more comfortable?A: Those big chairs are more comfortable.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Exercise Faith in Jesus Christ

(20–30 minutes)

Kristo akimfikia Petro juu ya maji.

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Igiza. Mwenza A ni mteja. Mwenza B ni muuzaji. Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu kitu gani ni bora na kwa nini. Badilishaneni nafasi.

New Vocabulary

couch

kocha

sewing machine

cherehani

TV

Runinga

I would like to buy a car.

Ningetaka kununua gari.

Why is that car better?

Kwa nini gari lile ni bora zaidi?

Example: Sewing Machine

Cherehani ya kizamani
Cherehani ya kisasa
  • A: I would like to buy a sewing machine. Which sewing machine is better?

  • B: The white sewing machine is better than the black sewing machine.

  • A: Why is that sewing machine better?

  • B: Because it’s newer and more high-tech.

Image Group 1: couch

ndugu wa kuzaliwa wamekaa kwenye kochi
Kochi kuu kuu

Image Group 2: bike

baiskeli nyekundu
baiskeli ya watu wawili

Image Group 3: car

gari la zamani jeupe
gari jipya la bluu

Image Group 4: TV

Mtoto akiegamia runinga ya zamani
Runinga

ikoni 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Fanya Igizo. Mwenza A ni mteja. Mwenza B ni muuzaji Tazama picha. Uliza na ujibu maswali angalau matatu kuhusu vitu hivi. Mwenza A anachagua ni kitu gani anunue na anaeleza kwa nini. Kuwa mbunifu! Badilishaneni nafasi.

New Vocabulary

piano

kinanda

Why is the big bike more expensive than the small bike?

Kwa nini baiskeli kubwa ni ghali zaidi kuliko ile baiskeli ndogo?

Example: bike

baiskeli nyekundu
baiskeli ya watu wawili
  • A: Which bike is more expensive?

  • B: The big bike is more expensive than the small bike.

  • A: Which bike is newer?

  • B: The small bike is newer.

  • A: Why is the big bike more expensive than the small bike?

  • B: The big bike is more expensive because it’s bigger.

  • A: I would like to buy the small bike because it’s less expensive and newer than the big bike.

Image Group 1: car

mkokoteni wa rangi ya feruzi
gari nyekundu ya kifahari

Image Group 2: chair

Kiti cha kisasa cha kijani
Kiti kilichopakwa rangi ya kupendeza ya bluu

Image Group 3: shoes

Viatu vya michezo vya kijivu
Viatu vya michezo vya bluu

Image Group 4: piano

Kinanda cha kahawia
Kinanda cheupe

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask about items.

    Uliza kuhusu vitu.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about and compare items.

    Zungumza kuhusu na linganisha vitu.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Fanya mazoezi kila siku.

Weka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Imani katika Yesu Kristo ni msingi wa imani yote na ni bomba la nguvu za kimungu. …

“… Ni imani yetu ndiyo inayofungulia nguvu za Mungu katika maisha yetu . …

“Bwana anaelewa udhaifu wetu wa kimwili. Sisi sote tunashindwa wakati mwingine. Lakini pia Anajua uwezekano wetu mkubwa wa kuwa. …

“Bwana hahitaji imani kamilifu kwetu sisi ili kufikia uwezo Wake mkamilifu . Lakini anatutaka sisi tuamini” (Russell M. Nelson, “Kristo Amefufuka; Imani Kwake Itahamisha Milima,,” Liahona, Mei 2021, 102).