EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Kipengele cha 2: Hitimisho—Kuomba Msaada


“Kipengele cha 2: Hitimisho—Kuomba Msaada,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Kipengele cha 2,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

wanawake wamekaa na kutabasamu

Unit 2: Conclusion

Asking for Help

Kazi nzuri katika masomo ya kipengele cha 2! Umejifunza jinsi ya kufanya maombi na kujibu maombi ya wengine. Unaweza pia kuzungumza kuhusu maisha yako kwa kina, ikijumuisha hisia zako na mihemko, mahali unapoishi, na ulikuwaje hapo zamani. Huu ni ujuzi wenye thamani. Endelea kuomba msaada wa Mungu unapoboresha ujuzi huu, na Yeye atabariki jitihada zako.

Evaluate

Evaluate Your Progress

Chukua muda utafakari na kusherehekea yote ambayo wewe umetimiza.

I can:

  • Express my feelings and emotions.

    Elezea hisia zangu na mihemko?

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Make requests.

    Fanya maombi.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Describe where I live.

    Elezea mahali ninapoishi

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about my past.

    Zungumza kuhusu siku zilizopita

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Ili kufuatilia maendeleo yako zaidi, nenda kwenye englishconnect.org/assessments na ukamilishe upimaji wa hiyari kwa ajili ya kipengele hiki.

Evaluate Your Efforts

Pitia tena juhudi zako kwa ajili ya kipengele hiki katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.” Je, unafanya maendeleo kuelekea kwenye dhumuni lako? Unaweza kufanya nini tofauti ili kufikia malengo yako?

Endelea kufanya mazoezi ya Kiingereza kila siku unapojiandaa kwa ajili ya EnglishConnect 3.

Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi EnglishConnect inavyoweza kupanua fursa zako, tembelea englishconnect.org.