EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 6: Hisia na Mihemko


“Somo la 6: Hisia na Mihemko,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 6,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

wasichana wawili wakikumbatiana

Lesson 6

Feelings and Emotions

Shabaha: Nitajifunza kuuliza na kujibu maswali kuhusu hisia.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: You Are a Child of God

Wewe ni Mtoto wa Mungu

I am a child of God with eternal potential and purpose.

Mimi ni mtoto wa Mungu aliye na uwezekano wa kuwa na kusudi la milele.

Mungu ni Baba wa roho zetu, kwa hiyo tunamwita Yeye Baba wa Mbinguni. Baba Yako wa Mbinguni anakupenda. Yeye anakutaka uelewe utambulisho wako wa kweli na uhusiano wako na Yeye. Kupitia manabii, Wake, Mungu hutufundisha sisi asili yetu ya kweli. Paulo, nabii katika Biblia, alifundisha:

Roho mwenyewe anashuhudia pamoja na roho zetu, ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu” (Warumi 8:16).

Mafundisho ya Paulo ni ya kweli kwako. Wewe ni binti au mwana wa Baba wa Mbinguni mwenye upendo. Unao uwezekano wa milele. Mungu ana kusudi kwa ajili ya maisha yako. Unapomuomba Mungu, Yeye anaweza kukusaidia kuona wewe ni nani na wewe unaweza kuwa nani. Wakati wowote unapokuwa na shaka kuhusu uwezo wako wa kujifunza Kiingereza, kumbuka kwamba wewe ni mtoto wa Mungu. Yeye anakupenda na anataka kukusaidia ukue na uendelee. Wakati wewe unaposali na kuomba msaada Wake, Yeye atakusaidia kujifunza.

mwanamke akitabasamu

Ponder

  • Ni kwa jinsi gani ungeelezea uhusiano kati ya baba mwenye upendo na mtoto wake?

  • Ni jinsi gani kujua wewe una Baba wa Mbinguni mwenye upendo kunagusa hisia zako kuhusu wewe mwenyewe?

  • Ni kwa jinsi gani unaweza kukuza uhusiano wako na Baba wa Mbinguni?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno katika maisha yako. Fikiria kuhusu lini na wapi ungeweza kutumia maneno haya.

Adjectives

all right

sawasawa

bored

choshwa

calm

kimya

embarrassed

aibika

excited

sisimkwa

frustrated

changanyikiwa

happy

furaha

mad

wazimu

nervous

wasi wasi

OK

SAWA

sad

huzunika

scared

ogopa

surprised

shangazwa

tired

choka

worried

hofu

Verbs Past

broke my leg

nimevunja mguu wangu

dropped my phone

nimedondosha simu yangu

got a job

Nimepata kazi

studied for a test

Nimejisomea kwa ajili ya mtihani

won the game

-lishinda mchezo ule

worked all day

Alifanya kazi siku nzima

watched a scary movie

-litazama sinema ya kutisha .

Ona lesson 2 na lesson 3 kwa ajili ya additional verbs.

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: Are you (adjective)?A: Yes, I’m (adjective).

Questions

swali la mpangilio wa 1 wewe ni kivumishi

Answers

jibu la mpangilio 1 ndiyo, ni kivumishi

Examples

mtu aliye changanyikiwa ameshikilia waya

Q: Are you frustrated?A: Yes, I’m frustrated.

Mwanamume akimkabili mwanamke aliyevunjika moyo

Q: Is she all right?A: No, she’s not all right.

Q: Is Adam tired?A: Yes, he is.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kutumia mipangilio katika mazungumzo na rafiki. Ungeweza kuzungumza au kutuma jumbe

Q: Why are you (adjective)?A: I’m (adjective) because I (verb past).

Questions

swali la mpangilio wa 2 kwa nini wewe kivumishi

Answers

jibu la mpangilio wa 2 ninahisi kivumishi kwa sababu mimi kitenzi kilichopita

Examples

mgonjwa mgu ukiwa umefungwa

Q: Why are you sad?A: I’m sad because I broke my leg.

msichana mdogo aliyekasirishwa

Q: Why is she feeling mad?A: She’s feeling mad because she’s embarrassed.

Q: Why are they surprised?A: Because they won the game.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: You Are a Child of God

(20–30 minutes)

mwanamke akitabasamu kwa mzizimo

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu jinsi kila mtu anavyojisikia na kwa nini. Kuwa mbunifu! Chukueni zamu. Badilishaneni wenza na mfanye mazoezi tena.

Example: Mari

mwanamke anatabasamu
  • A: Is Mari happy?

  • B: Yes, she is happy.

  • A: Why is Mari happy?

  • B: She’s happy because she got a job.

Image 1: David

mwanaume aliyechoka ameshika kichwa juu

Image 2: Hyun

Mwanamume aliye changanyikiwa

Image 3: Grace

msichana aliye hamasika akiwa amevaa miwani

Image 4: Gabriel

mvulana aliye shangazwa

Image 5: Lili

mwanamke mwenye huzuni akisoma muhtasari

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na ujibu maswali kuhusu jinsi unavyojisikia katika kila hali. Onyesha msisimko, huruma. Kuwa mbunifu! Chukueni zamu.

New Vocabulary

How are you feeling?

Unajisikiaje?

That’s great!

Vizuri sana!

That’s too bad.

Hiyo ni mbaya sana.

I’m sorry.*

Pole sana.”

*Watu mara kwa mara wanasema “I’m sorry” huko Marekani ili kuonyesha huruma. Unaposema, “I’m sorry,” haimaanishi daima kwamba wewe umefanya kitu kibaya.

Example: Ulidondosha simu yako ndani ya maji.

  • A: How are you feeling?

  • B: I’m sad.

  • A: Why are you feeling sad?

  • B: I’m feeling sad because I dropped my phone.

  • A: Oh I’m sorry. That’s too bad.

Situations

  1. You watched a scary movie.

    Uliangalia sinema ya kutisha.

  2. You ran 15 kilometers.

    Umekimbia kilomita 15

  3. You lost your wallet.

    Umepoteza pochi yako

  4. You got a new job.

    Umepata kazi mpya

  5. You studied for a test.

    Ulijisomea kwa ajili ya mtihani

  6. You traveled to a new place.

    Ulisafiri kwenda sehemu mpya.

  7. You attended an EnglishConnect gathering.

    Ulihudhuria kusanyiko la EnglishConnect.

  8. You played games with your friends or family members.

    Ulicheza michezo na marafiki zako au wana familia?

  9. You worked all day.

    Ulifanya kazii siku nzima.

  10. You received an unexpected gift.

    Umepokea zawadi isiyo tarajiwa.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask how others feel and why.

    Elezea jinsi wengine wanavyojisikia na kwa nini.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about how I and others feel and why.

    Zungumza kuhusu jinsi gani mimi na wengine tunavyojissikia na kwa nini.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Fanya mazoezi kila siku.

Weka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Mungu ni Baba yetu wa Mbinguni mwenye upendo, na Yeye anawapenda watoto wote kikamilifu ikijumuhisha wewe. Yeye alitupenda sisi kabla hata sisi kumpenda Yeye, na ushahidi wa upendo Wake kwa ajili yako upo kila mahali” (Upendo wa Mungu, ComeUntoChrist.org).