EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 9: Nyumbani


“Somo la 9: Nyumbani,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 9,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

familia ikitabasamu nje

Lesson 9

At Home

Shabaha: Nitajfunza kuelezea maisha ya mtu katika siku zilizopita.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Counsel with the Lord

Shauriana na Bwana

I improve my learning by counseling with God daily about my efforts.

Ninaweza kuboresha kujifunza kwangu kwa kushauriana na Mungu kila siku kuhusu juhudi zangu.

Kujiunza ni mchakato ambao unatokea baada ya muda kupita. Mungu anataka kukusaidia ujifunze na ukue. Yeye anataka kukusaidia ujifunze jinsi ya kuchukua hatua ndogo ndogo ili kutimiza mambo makubwa. Kitabu cha Mormoni husimulia juu ya mtu mwenye nguvu ya imani aliyeitwa Alma. Yeye alikuwa nabii wa Mungu na kiongozi wa nchi yake. Alma alifundisha:

“Kupitia vitu vilivyo vidogo na rahisi vitu vikubwa hutendeka. … Shauriana na Bwana kwenye matendo yako yote, na atakuongoza kwa yale mema” (Alma 37:6, 37).

Bwana hufanya kazi kupitia vitu vidogo na rahisi. Vitendo vidogo vinaweza kuwa na matokeo makubwa baada ya muda Sisi tunasali kwa Baba yetu wa Mbinguni katika jina la Mwanawe, Yesu Kristo. Kupitia sala na kujifunza maandiko, unaweza kushauriana na Bwana. Yeye anaweza kukusaidia kuchagua njia ndogo ndogo na rahisi ili kuwa bora. Je, unahitaji kuboresha ujuzi wako wa kusikiliza? Unaposhauriana na Mungu katika sala, unaweza kuamua kutumia dakika 10 katika siku kufanya mazoezi ya Kiingereza na rafiki. Je, unasumbuka kukumbuka maneno mapya? Unaposhauriana na Mungu, unaweza kuamua kupitia tena maneno unapokuwa unasafiri katika basi. Juhudi zako thabiti zitaleta “mambo makubwa” unapojifunza Kiingereza.

mvulana na msichana wakisali kitandani

Ponder

  • Je, utamaduni wako una msemo sawa na huu “vitu vidogo na rahisi”?

  • Ni kwa jinsi gani unaweza kushauriana na Mungu kuhusu juhudi zako?

  • Je, ni vitu gani vidogo vidogo unavyoweza kufanya kila siku ili kujifunza Kiingereza?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo.

did/didn’t

walifanya/hawakufanya

have/had

wanacho/walikuwa

was/were

alikuwa/walikuwa

Nouns 1

adult/adults

mkubwa/wakubwa

child/children

mtoto/watoto

teenager/teenagers

kijana/vijana

young adult/young adults

Kijana mkubwaVijana wakubwa

Nouns 2

bike

baiskeli

chicken

kuku

house

nyumba

moped

fagiliwa

Adjectives

athletic

riadha

calm

kimya

creative

mbunifu.

friendly

kuwa Rafiki!

funny

kuchekesha

kind

karimu

mean

mchoyo

shy

ona aibu

talkative

mzungumzaji sana

wild

mwitu

Ikoni  c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: What were you like as a (noun 1)?A: I was (adjective).

Questions

swali la mpangilio wa 1 wewe ulikuwa kama nini nomimo ya 1

Answers

jibu la mpangilio wa 1 mimi nilikuwa kitenzi

Examples

mtoto akijitayarisha kukimbia mbio.

Q: What were you like as a child?A: I was athletic.

Q: What was she like as a teenager?A: She was talkative.

Q: What were they like as children?A: They were wild.

Q: What were you like as teenagers?A: We were friendly.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kujifunza zaidi kuhusu mipangilio katika somo hili. Fikiria kutumia vitabu vya sarufi au tovuti.

Q: Did you have a (noun 2)?A: Yes, I had a (noun 2), but I wanted a (noun 2).

Questions

swali la mpangilio wa 2 je, ulikuwa na nomino ya 2

Answers

jibu la mpangilio wa 2 ndiyo 1 alikuwa nomino ya 2 lakini nilitaka nomino 2

Examples

Q: Did you have a bike?A: Yes, I had a bike, but I wanted a moped.

familia inalisha kuku

Q: Did she have chickens?A: Yes, she had three chickens.

Q: Did they have a house?A: No, they didn’t have a house, but they wanted a house.

mvulana akiendesha ufagio

Q: Did you have a moped?A: Yes, we had a moped.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Counsel with the Lord

(20–30 minutes)

mvulana na msichana wakisali kitandani

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu Itzak na Marta. Zungumza kuhusu ilikuwaje wao walipokuwa watoto, vijana, na vijana wakubwa. Zungumza kuhusu walikuwa na nini. Kuwa mbunifu! Chukueni zamu.

New Vocabulary

boat

boti

Example: Itzak

  • A: What was Itzak like as a child?

  • B: He was shy.

  • A: Did he have a bike?

  • B: Yes, he had a bike, but he wanted a moped.

Itzak

Mwanamume amesimama kwa ajili ya kupiga picha

Image 1

Mtoto mwenye aibu akijificha nyuma ya mikono

Image 2

mtu akiendesha baiskeli kwenda kazini

Image 3

boti iliyo tupu juu ya maji yaliyo wazi

Marta

mwanamke mwenye kutabasamu na nywele nyekundu

Image 1

kikundi cha marafiki vijana wakiwa nje

Image 2

familia wakilisha kuku

Image 3

Nyumba nyekundu kando ya bahari

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Part 1

Uliza na ujibu maswali kuhusu ulikuwaje ulipokuwa mtoto, kijana na kijana mkubwa. Zungumza kuhusu kile ulichokuwa nacho. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

Example
  • A: What were you like as a teenager?

  • B: I was wild!

  • A: Did you have a moped?

  • B: Yes, I had a moped, but I wanted a boat.

  • A: Did you have kind teachers or mean teachers?

  • B: I had kind teachers.

Part 2

Chagua wanafamilia watatu. Uliza na ujibu maswali kuhusu wao walikuwaje walipokuwa watoto, vijana, na vijana wakubwa. Zungumza kuhusu kitu walichokuwa nacho. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

New Vocabulary

car

gari

disobedient

asiyetii

outgoing

mtembezi

Example
  • A: What was your brother like as a teenager?

  • B: My brother was funny, outgoing, and disobedient.

  • A: Did he have long hair or short hair?

  • B: He had long hair.

  • A: Did he have a car?

  • B: No, he had a bike, but he wanted a car.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask what others were like in the past.

    Waulize watu wengine walikuwaje siku za nyuma.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about what I and others were like in the past.

    Zungumza kuhusu mimi na wengine tulikuwaje katika siku zilizopita.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Ask what others had in the past.

    Waulize watu wengine walikuwa na nini siku zilizopita.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about what I and others had in the past.

    Zungumza kuhusu mimi na wengine tulikuwa na nini siku za nyuma.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Tunaweza kuomba kwa Baba wa Mbinguni na kupokea mwongozo na maelekezo, na kuwezeshwa kukamilisha vitu kiurahisi ambavyo hatungeweza kufanya sisi wenyewe. …

“Sali … na kisha sikiliza! Andika mawazo ambayo yanakuja kwenye akili yako. Andika hisia zako na fuatilia matendo yako ambayo unasukumwa kuyatenda” (Russell M. Nelson,“Ufunuo kwa ajili ya Kanisa, Ufunuo kwa ajili ya Maisha Yetu,” Liahona, Mei 2018, 94–95).