EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 8: Nyumbani


“Somo la 8: Nyumbani,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 8,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

wasichana wakitabasamu

Lesson 8

At Home

Shabaha: Nitajifunza kuuliza na kujibu maswali kuhusu mahali ambapo mtu fulani anaishi.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Press Forward

Songa Mbele

With God’s help, I can press forward even when I face obstacles.

Kwa msaada wa Mungu, ninaweza kusonga mbele hata wakati ninapokabiliana na vikwazo.

Sisi sote tunakabiliana na changamoto katika maisha. Wakati mwingine changamoto zetu hufanya iwe vigumu kutimiza malengo yetu. Nefi, nabii na kiongozi katika Kitabu cha Mormoni, alipitia changamoto nyingi. Alitumia maisha yake yote kuwafundisha na kuwatumikia watu wake. Alijua wangekabiliana na changamoto ngumu, na alitaka kuwasaidia wao kujua jinsi ya kuwa thabiti. Nefi alifundisha:

“Usonge mbele ukiwa na imani imara katika Kristo, ukiwa na mg’aro mkamilifu wa tumaini, na upendo kwa Mungu na wanadamu wote” (2 Nefi 31:20).

Wewe pia unaweza kusonga mbele. Ili “Kusonga mbele ukiwa imara katika Kristo” humaanisha unaweza kuendelea kujaribu, ukimwamini Yesu Kristo, hata wakati mambo yawapo magumu. Ukimwamini kwamba Yeye atabariki juhudi zako hata wakati mambo ni magumu au wakati unapofanya makosa. Kwa mfano, labda umetambua kwamba wewe unafanya makosa wakati wewe unajaribu kuzungumza Kiingereza. Labda umekuwa na wakati mgumu kukumbuka maneno mapya. Wakati wewe unasonga mbele na kufanya mazoezi kila siku, ukimwamini Yeye kuwa atakusaidia kujifunza. Bila kujali changamoto unazokabiliana nazo, unaweza kusonga mbele kwa imani.

Kristo na mawio ya jua

Ponder

  • Ni njia gani ambazo unaweza “kusonga mbele” katika kujifunza Kiingereza?

  • Nini hukusaidia kuendelea kujaribu wakati mambo ni magumu?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo.

in

katika

on

kwenye

there

Kule

Adjectives

beautiful

Urembo

big

kubwa

busy

Kazi nyingi

crowded

iliyojaa watu

historic

ya kihistoria

lively

hai

new

mpya

noisy

kelele

old

mzee

peaceful

amani

quiet

kimya

safe

salama

unsafe

isiyo salama

Nouns

apartment

vyumba vya kuishi

city

mji/jiji

house

nyumba

neighborhood

ujirani

street

mtaa

town

mji

village

kijiji

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali.

Q: Where do you live?A: I live on a (adjective) (noun).

Questions

swali la mpangilio wa 1 unaishi wapi

Answers

Jibu la mpangilio wa 1 Ninaishi kivumishi nomino

Kumbuka: Tumia “on” kwa ajili ya mahali ambapo ni sehemu ya dunia (mitaa, barabara, mitaa mipana yenye majengo pembeni). Tumia “in” kwa maeneo yenye mipaka (majiji, ujirani, majengo).

Examples

barabara kuu zilizo na shughuli nyingi nyakati za usiku

Q: Where do you live?A: I live on a busy street.

Q: Where does she live?A: She lives in a crowded neighborhood.

mtaa wa ujirani usio na watu mtaani

Q: Where do they live?A: They live in an apartment.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kusema mipangilio kwa sauti. Fikiria kujirekodi mwenyewe. Zingatia matamshi yako na ufasaha wako.

Q: Why do you like living on a (adjective) (noun)?A: I like living there because it’s (adjective).

Questions

swali la mpangilio wa 2 kwa nini unapenda kuishi kwenye kivumishi nomino

Answers

jibu la mpangilio wa 2 Mimi napenda kuishi hapo kwa sababu ni kivumishi

Examples

nyumba nyeupe ya kupangisha

Q: Why do you like living in a quiet city?A: I like living there because it’s safe.

mji na mitaa yenye shughuli nyingi usiku

Q: Why don’t you like living on a busy street?A: I don’t like living there because it’s noisy.

Q: Why do you like living in a new apartment?A: Because it’s big and beautiful.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Press Forward

(20–30 minutes)

Kristo na mawio ya jua

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Part 1

Fanya Igizo. Mwenza B anaishi katika mahali katika kila picha. Mwenza A anauliza maswali kuhusu kuishi huko. Badilishaneni nafasi.

New Vocabulary

Do you like living in a big city?

Je, unapenda kuishi katika jiji kubwa?

Example
maghorofa marefu
  • A: Where do you live?

  • B: I live in a big city.

  • A: Do you like living in a big city?

  • B: Yes.

  • A: Why do you like living in a big city?

  • B: I like living there because it’s lively, beautiful, and historic.

Image 1

mji na mitaa yenye shughuli nyingi usiku

Image 2

nyumba iliyo na mnazi

Image 3

ujirani wenye nyumba kilimani

Image 4

jengo la vyumba vya kuishi (kupangisha)

Image 5

vibanda juu ya kisiwa

Part 2

Tazama taarifa kuhusu watu. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila mtu. Chukueni zamu.

Example: Kalani
  • old neighborhood

  • unsafe

  • A: Where does Kalani live?

  • B: Kalani lives in an old neighborhood.

  • A: Does Kalani like living in an old neighborhood?

  • B: No.

  • A: Why doesn’t he like it?

  • B: Because it’s unsafe.

Ian
  • busy street

  • noisy; crowded

Ara
  • peaceful neighborhood

  • quiet

Clare
  • big city

  • lively; beautiful

Rongo
  • small village

  • peaceful

Desh
  • quiet town

  • safe; historic

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na ujibu maswali kuhusu mahali wewe unaishi. Tumia maswali kutoka kwenye orodha au fikiria maswali yako mwenyewe. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

New Vocabulary

close to my family

Karibu na familia yangu

Questions List

  • Where do you live?

  • Tell me about your town.

  • Why do you like living there?

  • Why don’t you like living there?

  • Is your city big or small?

  • Is your neighborhood noisy or quiet?

  • Is your street safe or unsafe?

  • Do you live in a house or an apartment?

Example

  • A: Do you live in a house or an apartment?

  • B: I live in an apartment.

  • A: Why do you like living there?

  • B: I like living there because it is small and clean. It is close to my family.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask where others live.

    Uliza wengine wanaishi wapi.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about where I and others live.

    Zungumza kuhusu mahali ambapo mimi na wengine tunaishi.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Ask why others like or don’t like living somewhere.

    Waulize kwa nini wengine wanapenda au hawapendi kuishi mahali fulani.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about why I and others like or don’t like living somewhere.

    Zungumza kuhusu kwa nini mimi na wengine tunapenda au hatupendi kuishi mahali fulani.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Fanya mazoezi kila siku.

Kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Usiache. Endelea kutembea. Endelea kujaribu. Kuna msaada na furaha mbele. … Itakuwa sawa mwisho. Mwamini Mungu na amini katika mambo mema yajayo” (Jeffrey R. Holland, “Kuhani Mkuu wa Mambo Mema Yajayo,’” bendera,, Jan. 1999, 38).