EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Kipengele cha 1: Hitimisho—Kujitambulisha Mwenyewe


“Kipengele cha 1: Hitimisho—Kujitambulisha Mwenyewe,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Kipengele cha 1,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

vijana wakubwa wakitembea kwenye bustani

Unit 1: Conclusion

Introducing Myself

Vyema sana! Umekamilisha kipengele cha 1. Unaweza kuanza kujenga uhusiano na mzungumzaji wa Kiingereza katika jumuiya yako kwa kujitambulisha mwenyewe, ukielezea mambo upendayo kufanya na mapendeleo yako, na kuzungumza kuhusu familia yako na marafiki. Weka lengo la kuzungumza Kiingereza na watu katika maisha yako ya kila siku na kumbatia kila fursa inayokujia.

Evaluate

Evaluate Your Progress

Chukua muda utafakari na kusherehekea yote ambayo wewe umetimiza.

I can:

  • Introduce myself and others.

    Jitambulishe mwenyewe na wengine.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Ask about personal information.

    Uliza kuhusu habari za kibinafsi.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Describe my hobbies and interests.

    Elezea mambo nipendayo kwa burudani na nipendayo kujua.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about family and friends.

    Zungumza kuhusu familia na marafiki.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Ili kufuatilia maendeleo yako zaidi, nenda kwenye englishconnect.org/assessments na ukamilishe upimaji wa hiyari kwa ajili ya kipengele hiki.

Evaluate Your Efforts

Pitia tena juhudi zako kwa ajili ya kipengele hiki katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.” Je, unafanya maendeleo kuelekea kwenye dhumuni lako? Unaweza kufanya nini tofauti ili kufikia malengo yako?

Endelea kufanya mazoezi ya Kiingereza kila siku unapojiandaa kwa ajili ya EnglishConnect 3.

Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi EnglishConnect inavyoweza kupanua fursa zako, tembelea englishconnect.org.