EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 5: Familia na Marafiki


“Somo la 5: Familia na Marafiki,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 5,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

wanaume wakitabasamu nje

Lesson 5

Family and Friends

Lengo: Nitajfunza kufanya malinganisho kati ya watu.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Learn by Study and by Faith

Jifunze Kwa Kusoma na Kwa Imani

In EnglishConnect, we rely on God to learn by study and by faith.

Katika EnglishConnect, tunamtegemea Mungu ili kujifunza kwa kusoma na kwa imani.

Mnamo mwaka wa 1832, Joseph Smith na baadhi ya viongozi wa mwanzo wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho walikuwa \wameelekezwa kuanzisha shule. Mungu aliwataka wao kujifunza, kukua na kujiandaa kuwaongoza wengine. Hili kundi la waumini hawakuwa na shahada kutoka vyuo vikuu au hata elimu kubwa. Hawakuwa na fedha nyingi au rasilimali. Katika maandiko, Mungu aliwafundisha wao mpangilio wa kujifunza:

“Na kwa vile wote hamna imani, tafuteni kwa bidii na kufundishana maneno ya hekima; ndiyo, tafuteni kutoka kwenye vitabu vizuri maneno ya hekima; tafuteni maarifa, hata kwa kujifunza na pia kwa imani” (Mafundisho na Maagano 88:118).

Mungu hufundisha kwamba tunahitaji kujifunza kwa kusoma, na pia tunahitaji kujifunza kwa imani. Tunafanya bidii yetu yote, na tunamuomba Mungu amtume Roho Wake ili afungue akili zetu na mioyo yetu ili tujifunze. Roho hutupa uelewa zaidi kuliko inavyowezekana peke yetu wenyewe. Kuwa na mwalimu bora au vitabu bora inaweza kusaidia, lakini Mungu anaweza kutufundisha hata kama hatuna vitu hivyo. Tunapojifunza kwa kusoma na kwa imani, Mungu anaweza kutusaidia kujifunza zaidi tunavyoweza kuliko tudhaniavyo.

mwanaume akijifunza

Ponder

  • Je, tunaweza kufanya nini ili tutafute kujifunza “kwa kusoma na kwa imani.”?

  • Fikiria kuhusu uzoefu wako katika EnglishConnect. Ni kwa jinsi gani Mungu amekusaidia wewe kujifunza?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutengeneza kadi za kunyanyua ili kukusaidia kukariri maneno mapya. Unaweza kutumia karatasi au app.

different

tofauti

Nouns

Ona kiambatisho cha family nouns.

Adjectives 1

shorter

fupi zaidi

taller

zaidi

older

mzee zaidi

younger

mdogo zaidi

louder

sauti kubwa zaidi

Adjectives 2

athletic

riadha

beautiful

Urembo

energetic

enye nguvu

generous

karimu

intelligent

akili

outgoing

mtembezi

patient

mgonjwa

quiet

kimya

thoughtful

enye kuwaza

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: How are you and your (noun) different?A: I am (adjective 1).

Questions

swali la mpangilio wa 1 hali yako na nomino ni tofauti

Answers

jibu la mpangilio wa 1 mimi ni kivumishi

Examples

baba na mwana wakiwa kwenye bustani

Q: How are you and your son different?A: He is shorter.

Q: How are you and your daughter different?A: I am taller.

Q: How are you and your cousins different?A: They are louder.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kusema mipangilio kwa sauti. Fikiria kujirekodi mwenyewe. Zingatia matamshi yako na ufasaha wako.

Q: How are your (noun) and (noun) different?A: My (noun) is more (adjective 2).

Questions

swali la mpangilio wa 2 nikwa namna gani nomino yako na nomino ni tofauti

Answers

Jibu la mpangilio 2 nomino yangu na kivumishi zaidi 2

Examples

familia huko Hawaii

Q: How are your sisters and brother different?A: My sisters are more thoughtful.

Q: How are your mother and father different?A: My father is less outgoing.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Learn by Study and by Faith

(20–30 minutes)

mwanaume akijifunza

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Part 1

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali ili kulinganisha watu katika kila picha. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

Example: Luis and Carlos
Babu anacheza basketi boli na mjukuu wa kiume
  • A: How are Luis and Carlos different?

  • B: Luis is younger. Carlos is older. Luis is less athletic. Carlos is less patient.

Image 1: Susan and her mom

mama na binti wakiunganisha mikono

Image 2: Sam and Rachel

Mume na mke wakikaa mkao wa kupiga picha

Image 3: Anya and Yash

Wana ndoa wakizungumza ufukoni wakati wa machweo ya jua

Part 2

Uliza na ujibu maswali kuhusu kujilinganisha mwenyewe na wanafamilia wako. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

Example
  • A: How are you and your mother different?

  • B: I am younger. She is more generous. She is less energetic.

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na kujibu maswali kuhusu kujilinganisha mwenyewe na mwenzako. Tumia vivumishi vingi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

New Vocabulary

We are both tall.

Sisi sote wawili ni warefu.

Example

  • A: How old are you?

  • B: I’m twenty-nine years old. How old are you?

  • A: I’m thirty-nine years old. I am older. You are younger.

  • B: Are you athletic?

  • A: Yes, I am athletic. Are you athletic?

  • B: Yes, I am. We are both athletic!

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Compare myself to others.

    Nilinganishe mimi na wengine.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Compare other people to each other.

    Walinganishe wengine na kila mmoja mwingineTunaheshimiana na kusikilizana.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Kwa sababu ya umakini wetu wa kiroho kwa kila mwanadamu, tunafikiria kupata elimu ni jukumu la kidini. … Muuba wetu anatarajia watoto Wake kila mahali kujielimisha wenyewe” (Russell M. Nelson, “Where is Wisdom?,” Ensign, Nov. 1992, 6).