EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 4: Familia na Marafiki


“Somo la 4: Familia na Marafiki ,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 4,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

mwanamke akitabasamu kwenye meza

Lesson 4

Family and Friends

Shabaha: Nitajfunza kuwaelezea jamaa wa familia kubwa.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Love and Teach One Another

Pendaneni na Fundishaneni

I can learn from the Spirit as I love, teach, and learn with others.

Ninaweza kujifunza kutoka kwa Roho ninapowapenda, kuwafundisha na kujifunza pamoja na wengine.

Katika EnglishConnect, tunajua kwamba Mungu ni mwalimu wa kweli, na Yeye hufundisha kupitia RohoWake. Roho huleta hisia za furaha, amani na upendo. Roho hutusaidia kuelewa ukweli na anaweza kuongeza uwezo wetu kwa kujifunza. Njia mojawapo ambayo tunamwalika Roho kuwa pamoja nasi ni kwa kupendana, kufundishana na kujifunza pamoja. Nabii Alma kutoka Kitabu cha Mormoni alikuwa na wajibu wa kuwafundisha watu. Aliwagawa watu katika vikundi na kuchagua kiongozi wa kila kikundi. Alma aliwafundisha.

“Mhubiri hakuwa bora zaidi kuliko wale ambao walimsikiliza, wala mwalimu hakuwa bora kuliko mwanafunzi; na hivyo wote walikuwa sawa” (Alma 1:26).

Katika EnglishConnect, tunaamini kwamba walimu na wanafunzi wana umuhimu ulio sawa. Sisi sote ni walimu na wanafunzi. Tunaheshimiana na kusikilizana. Tunafundishana. Tunapendana na kuthaminiana. Tunaweza kuwapongeza wengine wanapofanikiwa na kuwatia moyo wakati wanapofanya makosa. Pia tunaweza kutafuta njia za kusaidiana na kupanga muda wa kufanya mazoezi pamoja katika siku za wiki. Mungu atatubariki na Roho Wake tunapojifunza kupendana na kufundishana.

wanawake watatu wakikumbatiana na kutabasamu

Ponder

  • Unaweza kufanya nini ili kuwapenda na kuwasaidia wale ambao wana uwezo tofauti wa lugha ya Kiingereza?

  • Ni kwa jinsi gani uzoefu wa kujifunza katika EnglishConnect unaweza kuwa tofauti na madarasa uliyokuwa nayo hapo awali?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo.

extended family

familia kubwa

eyes

macho

hair

nywele

Adjectives

artistic

kisanii

athletic

riadha

intelligent

akili

loud

sauti kubwa

silly

pumbavu

short

fupi

tall

ndefu

old

mzee

young

kijana

black

nyeusi

blonde

nywele zenye rangi ya shaba

brown

kahawia

gray

kijivu

red

nyekundu

white

nyeupe

hazel

ukungu

blue

bluu

green

kijani

Ona kiambatisho kwa ajili numbers.

Ona kiambatisho kwa ajili ya family nouns.

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: How many (noun) do you have?A: I have (number) (noun).

Questions

swali la mpangilio wa 1 una nomino ngapi

Answers

jibu la mpangilio wa 1 nina nomino

Examples

Q: How many cousins do you have?A: I have fifteen cousins.

picha ya mama na mwana

Q: How many nephews does she have?A: She has two nephews.

Q: How many aunts and uncles does he have?A: He has ten aunts and uncles.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kufanya shughuli ya 1 na ya 2 za kikundi cha mazungumzo kabla ya kikundi chako kukutana.

A: Tell me about your (noun).B: They are (number) years old, (adjective), and (adjective).They have (adjective) hair and (adjective) eyes.

Questions

swali la mpangilio wa 2 niambie kuhusu nomino yako

Answers

Jibu la mpangilio wa 2 wana umri wa miaka idadi kivumishi na kivumishi wanayo nywele kivumishi na macho kivumishi

Examples

A: Tell me about your cousin.B: She is twenty-four years old, tall, and athletic.She has blonde hair and green eyes.

Picha ya familia na watoto watatu

A: Tell me about your nephews.B: They are three and two years old.They have black hair and brown eyes.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Love and Teach One Another

(20–30 minutes)

wanawake watatu wakikumbatiana na kutabasamu

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Part 1

Tazama picha. Chagua familia moja. Usimwambie mwenzako ni familia gani unaichagua. Uliza na ujibu maswali ili kubashiri familia hiyo. Chukueni zamu.

Example
  • A: Tell me about the family.

  • B: This family has a grandmother.

  • A: Is it family 5?

  • B: No. The family also has an aunt, an uncle, and three cousins. They have black hair.

  • A: Is it family 4?

  • B: Yes!

Image 1: Family 1

picha ya mama na mwana

Image 2: Family 2

picha ya babu, babs, na mwana katika bustani

Image 3: Family 3

picha ya familia na watoto watatu

Image 4: Family 4

picha ya bini, mama, baba, na watoto watatu

Image 5: Family 5

picha ya familia ya watu tisa

Image 6: Family 6

picha ya familia ya watu binafsi sita

Part 2

Tazama picha katika sehemu ya 1. Chagua mtu mmoja katika kila picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu maumbile ya mtu na mwonekano wa mwili wake. Kuwa mbunifu! Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

New Vocabulary

funny

kuchekesha

kind

karimu

Example
  • A: Tell me about the grandmother in family 4.

  • B: The grandmother in family 4 is short. She is 70 years old. She has black hair and brown eyes. She is funny and kind.

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Chagua marafiki au wanafamilia watatu. Uliza na ujibu maswali kuhusu mwonekano wa mtu na mwonekano wa kimwili. Tumia maswali kutoka kwenye orodha au fikiria maswali yako mwenyewe. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

New Vocabulary

calm

kimya

Questions List

  • Tell me about your cousins.

  • What are their names?

  • Where are they from?

  • How old are they?

  • What do they like doing?

  • Are they tall or short?

  • Are they athletic?

  • Do they have black hair?

Example

  • A: Tell me about your grandfather.

  • B: His name is John. He is 80 years old. He is kind and calm.

  • A: What does he like doing?

  • B: He likes to play chess.

  • A: Is he tall or short?

  • B: He is tall.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask about others’ extended families.

    Uliza kuhusu wengine na familia kubwa.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about my and others’ extended families.

    Zungumza kuhusu familia yangu na jamaa wengine.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Fanya mazoezi kila siku.

Weka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Roho Mtakatifu ni mwalimu wa kweli. Hakuna mwalimu anayeishi, hata kama ana ujuzi na uzoefu kiasi gani, anayeweza kuchukua nafasi Yake katika kushuhudia juu ya ukweli, kushuhudia juu ya Yesu Kristo na kuibadilisha mioyo. Lakini walimu wote wanaweza kuwa vyombo katika kuwasaidia watoto wa Mungu kujifunza kupitia Roho” (Kufundisha katika Njia ya Mwokozi: Kwa Wote Wanao Fundisha Nyumbani na Kanisani [2022], 16).