EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 3: Mapendeleo


“Somo la 3: Mapendeleo,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 3,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

wanaume wawili wakitabasamu

Lesson 3

Interests

Shabaha: Nitajifunza kuzungumza kuhusu kile mtu anapenda kufanya na kwa nini.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Take Responsibility

Wajibika

I have the power to choose, and I am responsible for my own learning.

Nina uwezo wa kuchagua, na ninawajibika kwa ajili ya kujifunza kwangu mwenyewe.

Wewe ni mtoto wa Mungu na unao uwezo wa kuchagua na kutenda kwa ajili yako mwenyewe. Uwezo huu huitwa haki ya kujiamulia. Lehi nabii katika Kitabu cha Mormoni, anatufundisha kwamba sisi si kama mawe, tunasubiria mtu fulani atubadilishe na kutuhamisha. Sisi ni mawakala ambao tunaweza kuamua kwa ajili yetu wenyewe nini tunaamini, nini tutafanya, na ni nani tutakuwa. Lehi alifundisha:

“[Mungu] na ameumba vitu vyote, … vitu vya kutenda na vitu vya kutendewa. … Kwa hivyo, Bwana Mungu amemruhusu mwanadamu kujitendea mwenyewe” (2 Nefi 2:14, 16).

Unaweza kuchagua kujifunza na kuwa bora. Mwalimu wako na wanafunzi wengine katika kikundi chako cha mazungumzo wanaweza kukusaidia, lakini mwishoni, ni chaguzi zako ambazo zitakuwa na matokeo makubwa juu ya kujifunza kwako. Unaweza kujitendea mwenyewe katika kufanya mazoezi ya Kiingereza kila siku. Wakati matatizo yanapojitokeza, tafuta suluhisho. Umepatiwa haki ya kujiamulia—uwezo kutoka kwa Mungu wa kutenda. Unaweza kuwajibika kwa ajili ya kujifunza kwako wewe mwenyewe.

wanaume wawili na mvulana wakizungumza

Ponder

  • Inamaanisha nini kuwa “wakala” na kuwajibika kwa ajili ya kujifunza kwako mwenyewe?

  • Je, ni vitu gani ambavyo vinafanya iwe vigumu kujifunza Kiingereza kila siku?

  • Je, unaweza kufanya nini ili kujitendea na si kutendewa unapojifunza Kiingereza kila siku?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno katika maisha yako. Fikiria kuhusu lini na wapi ungeweza kutumia maneno haya.

Verbs/Verbs + ing

cook/cooking

pika/kupika

dance/dancing

dansi/kuchenza dansi

fish/fishing

samaki/kuvua samaki

go/going to museums

-enda/-enda makumbusho

paint/painting

Rangi/kupaka rangi

play/playing sports

cheza/kucheza michezo

read/reading

soma/kusoma

run/running

kimbia/kukimbia

swim/swimming

ogelea/kuogelea

write/writing

andika/kuandika

Adjectives

amazing

inashangaza

boring

kuchosha

challenging

enye changamoto

difficult

ngumu

easy

rahisi

fun

burudani

interesting

enye kupendeza

relaxing

enye kuliwaza

tiring

enye kuchosha

wonderful

ajabu

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: What do you like doing?A: I like (verb + ing).

Questions

swali la mpangilio wa 1 unapenda kufanya nini

Answers

jibu la mpangilio wa 1 mimi napenda kitenzi

Examples

Baba akimsomea binti

Q: What do you like doing?A: I like reading.

Q: What doesn’t she like doing?A: She doesn’t like swimming.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kuelewa sheria katika mipangilio. Fikiria jinsi Kiingereza kinavyofanana na au ni tofauti na lugha yako.

Q: Why do you like (verb + ing)?A: I like (verb + ing) because it’s (adjective).

Questions

swali la mpangilio wa 2 kwa nini unapenda kitenzi

Answers

jibu la mpangilio wa 2 Mimi napenda kitenzi + ing kwa sababu ni kivumishi

Examples

Q: Why do you like reading?A: I like reading because it’s interesting.

msichana mdogo akiongelea

Q: Why doesn’t she like swimming?A: She doesn’t like swimming because it’s difficult.

Mwanaume anachora

Q: Why does he like painting?A: Because it’s relaxing.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Take Responsibility

(20–30 minutes)

wanaume wawili na mvulana wakizungumza

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila mtu. Chukueni zamu.

Example: Ahmad

Likes

mwanamume akicheza mpira ufukoni

Doesn’t Like

mama na mwanaye wakipika
  • A: What does Ahmad like doing?

  • B: He likes playing sports.

  • A: Why does he like playing sports?

  • B: Because it’s fun.

  • A: What doesn’t Ahmad like doing?

  • B: He doesn’t like cooking.

  • A: Why doesn’t he like cooking?

  • B: He doesn’t like cooking because it’s tiring.

Image Group 1: Ken

Likes

mwanamume akisoma kitabu

Doesn’t Like

mwanamume akikimbia

Image Group 2: Marisa

Likes

mwanamke akiogelea

Doesn’t Like

mwanamke na msichana wakishangaa sanaa katika makumbusho

Image Group 3: Mei

Likes

mwanamke akichora picha kwenye turubai

Doesn’t Like

familia wanavua samaki

Image Group 4: Rosa

Likes

wanawake wawili wakicheza dansi ndani ya nyumba

Doesn’t Like

mwanamke akiandika katika kalenda

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Chagua marafiki au wanafamilia watatu. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila mtu apendacho. Chukueni zamu.

New Vocabulary

cheap

rahisi

expensive

ghali

playing games

kucheza michezo

shopping

kununua

traveling

kusafiri

Example

  • A: My sister likes shopping.

  • B: Why does your sister like shopping?

  • A: She likes shopping because it’s exciting.

  • B: Does your sister like traveling?

  • A: No, she doesn’t like traveling.

  • B: Why doesn’t she like traveling?

  • A: Because it’s expensive.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Talk about what I like and don’t like doing and why.

    Zungumza kuhusu mimi napenda na sipendi kufanya nini na kwa sababu gani.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about what others like and don’t like doing and why.

    Zungumza kuhusu wengine wanapenda au hawapendi kufanya nini na kwa sababu gani.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Chaguzi tunazofanya huamua hatima yetu” (Thomas S. Monson, “Chaguzi,” Liahona, Mei 2016, 86)