“Somo la 6: Utangulizi—Kuzungumza kuhusu Afya Yangu na Jumuiya,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Kipengele cha 6,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi
Unit 6: Introduction
Talking about My Health and Community
Objectives
I will learn to:
-
Ask for and give directions.
Kuuliza na kutoa maelezo ya uelekeo.
-
Describe how I feel.
Elezea jinsi unavyohisi.
-
Talk about illnesses.
Zungumza kuhusu maradhi.
-
Apply principles of learning by study and by faith.
Tumia kanuni za kujifunza kwa kusoma na kwa imani.