“Kipengele cha 5: Hitimisho—Kuelezea Nyumba Yangu,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Kipengele cha 5: Hitimisho,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi
Unit 5: Conclusion
Describing My Home
Kujifunza lugha ni kama kujenga nyumba: inatokea tofali moja kwa wakati mmoja, neno moja la msamiati kwa wakati mmoja. Jivunie juu yako mwenyewe kwa kukamilisha kipengele cha 5. Endelea tafuta msaada wa Mungu. Uwezo wako utakua unaposali na kufanya mazoezi. Usikate tamaa!
Evaluate
Evaluate Your Progress
Chukua muda utafakari na kusherehekea yote ambayo wewe umetimiza.
I can:
-
Explain how to make different foods.
Elezea jinsi ya kupika vyakula mbali mbali.
-
Talk about buying or selling something.
Zungumza kuhusu kununua au kuuza kitu.
-
Describe where I live.
Elezea mahali ninapoishi.
Ili kufuatilia zaidi maendeleo yako, nenda kwenye englishconnect.org/assessments na ukamilishe upimaji wa hiyari kwa ajili ya kipengele hiki.
Evaluate Your Efforts
Pitia tena juhudi zako kwa ajili ya kipengele hiki katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.” Je, unapiga hatua kuelekea kwenye madhumuni yako? Unaweza kufanya nini tofauti ili kufikia malengo yako?
Endelea kufanya mazoezi ya Kiingereza kila siku unapojiandaa kwa ajili ya EnglishConnect 2.
Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi gani EnglishConnect inavyoweza kupanua fursa zako, tembelea englishconnect.org.