“Kipengele cha 6: Hitimisho—Kuzungumza kuhusu Afya Yangu na Jumiya,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Kipengele cha 6,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi
Unit 6: Conclusion
Talking about My Health and Community
Umekamilisha kipengele cha 6, ambayo inamaanisha wewe umekamilisha EnglishConnect 1! Kazi nzuri! Wewe unaweza kuzungumza kuhusu mambo mengi katika maisha yako ya kila siku na jumuiya. Maarifa uliyopata na kanuni za kujifunza ulizojifunza zitakuwa ushawishi chanya kote katika maisha yako.
Evaluate
Evaluate Your Progress
Chukua muda wa kutafakari na kusherehekea yote ambayo wewe umetimiza.
I can:
-
Ask for and give directions.
Kuuliza na kutoa maelekezo ya mahali.
-
Describe how I feel.
Elezea jinsi unavyohisi.
-
Talk about illnesses.
Zungumza kuhusu maradhi.
Ili kufuatilia maendeleo yako zaidi, nenda kwenye englishconnect.org/assessments na ukamilishe upimaji wa hiyari kwa ajili ya kipengele hiki.
Evaluate Your Efforts
Pitia tena juhudi zako kwa ajili ya kipengele hiki katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.” Je, unafanya maendeleo kuelekea kwenye madhumuni yako? Unaweza kufanya nini ili kuboresha kujifunza kwako?
Endelea kufanya mazoezi ya Kiingereza kila siku unapojiandaa kwa ajili ya EnglishConnect 2.
Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi EnglishConnect inavyoweza kupanua fursa zako, tembelea englishconnect.org.