“Kipengele cha 4: Utangulizi—Kuelezea Kazi na Chakula,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Kipengele cha 4: Utangulizi,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi
Unit 4: Introduction
Describing Jobs and Food
Objectives
I will learn to:
-
Talk about my job.
Zungumza kuhusu kazi yangu.
-
Describe foods I like and dislike.
Elezea vyakula ninavyopenda na nisivyopenda.
-
Explain why I like or dislike foods.
Eleza kwa nini ninapenda au sipendi chakula.
-
Order food and take someone’s order.
Agiza chakula na uchukue oda ya mtu.
-
Apply principles of learning by study and by faith.
Tumia kanuni za kujifunza kwa kusoma na kwa imani.