“Kipengele cha 3: Hitimisho—Kuzungumza kuhusu Siku Yangu,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Kipengele cha 3: Hitimisho,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi
Unit 3: Conclusion
Talking about My Day
Sasa uko nusu kuelekea kumaliza EnglishConnect 1! Fikiria kuhusu ni kiasi gani umejifunza. Unaweza kuzungumza kuhusu wewe mwenyewe, waulize wengine kuhusu wao wenyewe, na kuelezea mambo katika maisha yako ya kila siku Endelea kufanya vyema uwezavyo na kusali kwa Baba wa Mbinguni kwa ajili ya msaada unapomalizia nusu ya mwisho ya EnglishConnect 1.
Evaluate
Evaluate Your Progress
Chukua muda utafakari na kusherehekea yote ambayo wewe umetimiza.
I can:
-
Describe my daily routine.
Elezea utaratibu wangu wa kila siku.
-
Describe what I am doing.
Elezea mimi ninachofanya nini.
-
Use days and times to talk about my day.
Tumia siku na saa kuzungumza kuhusu siku yangu.
-
Describe the weather.
Elezea kuhusu hali ya hewa.
Ili kufuatilia maendeleo yako zaidi, nenda kwenye englishconnect.org/assessments na ukamilishe upimaji wa hiyari kwa ajili ya kipengele hiki.
Evaluate Your Efforts
Pitia tena juhudi zako kwa ajili ya kipengele hiki katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.” Je, unafanya maendeleo kuelekea kwenye dhumuni lako? Unaweza kufanya nini tofauti ili kufikia malengo yako?
Endelea kufanya mazoezi ya Kiingereza kila siku unapojiandaa kwa ajili ya EnglishConnect 2.
Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi EnglishConnect inavyoweza kupanua fursa zako, tembelea englishconnect.org.