Mkutano Mkuu
Kuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa Wakuu
Mkutano mkuu wa Aprili 2021


Kuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa Wakuu

Akina kaka na akina dada, sasa nitawasilisha kwenu Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa Wakuu wa Kanisa kwa ajili ya kura yenu ya kuwakubali.

Tafadhali onyesha kura yako katika njia ya kawaida popote ulipo. Kama kuna wale wanaopinga mapendekezo yoyote yanayowasilishwa, tunaomba kwamba muwasiliane na rais wenu wa kigingi.

Inapendekezwa kwamba tumuidhinishe Russell Marion Nelson kama nabii, mwonaji, na mfunuzi na Rais wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho; Dallin Harris Oaks kama Mshauri wa Kwanza katika Urais wa Kwanza; na Henry Bennion Eyring kama Mshauri wa Pili katika Urais wa Kwanza.

Wale wanaounga mkono wanaweza kuonesha.

Wale wanaopinga, kama wapo, wanaweza kuonesha.

Inapendekezwa kwamba tumuidhinishe Dallin H. Oaks kama Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili na M. Russell Ballard kama Kaimu Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili.

Wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.

Yeyote anayepinga anaweza kuonyesha.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe wafuatao kama washiriki wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili: M. Russell Ballard, Jeffrey R. Holland, Dieter F. Uchtdorf, David A. Bednar, Quentin L. Cook, D. Todd Christofferson, Neil L. Andersen, Ronald A. Rasband, Gary E. Stevenson, Dale G. Renlund, Gerrit W. Gong na Ulisses Soares.

Wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.

Yeyote anayepinga anaweza kuonyesha.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe washauri katika Urais wa Kwanza na Akidi ya Mitume Kumi na Wawili kama manabii, waonaji na wafunuzi.

Wote wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.

Kinyume, kama kuna yeyote, kwa ishara hiyo hiyo.

Kama jambo la kutolea taarifa, Wazee Robert C. Gay na Terence M. Vinson watapumzishwa kutoka kwenye huduma yao kama washiriki wa Urais wa Sabini, ifikapo Agosti 1, 2021.

Wale ambao wangependa kutoa shukrani kwa ndugu hawa kwa huduma yao ya kujitolea wanaweza kufanya hivyo kwa kuinua mkono juu.

Sabini wafuatao wa Maeneo wamepumzishwa: Wazee Sean Douglas, Michael A. Dunn, Clark G. Gilbert, Alfred Kyungu, Carlos G. Revillo Jr. na Vaiangina Sikahema.

Wale wanaopenda kuungana nasi kutoa shukrani kwa huduma yao nzuri, tafadhali onyesheni.

Tumewapumzisha Urais Mkuu wa Msingi kama ifuatavyo: Joy D. Jones kama Rais, Lisa L. Harkness kama Mshauri wa Kwanza na Cristina B. Franco kama Mshauri wa Pili.

Wale wote wanaopenda kuungana nasi katika kutoa shukrani kwa akina kaka hawa kwa huduma yao ya kusifika, tafadhali waonyeshe.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe Wazee Paul V. Johnson na S. Mark Palmer kuhudumu kama washiriki wa Urais wa Sabini kuanzia Agosti 1, 2021.

Wale wanaounga mkono wanaweza kuonyesha.

Yeyote anayepinga kwa ishara hiyo hiyo.

Inapendekezwa kwamba tuwakubali wafuatao kama Sabini Wakuu Wenye Mamlaka: Sean Douglas, Michael A. Dunn, Clark G. Gilbert, Patricio M. Giuffra, Alfred Kyungu, Alvin F. Meredith III, Carlos G. Revillo Jr. na Vaiangina Sikahema.

Wote wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.

Wale wanaopinga, kwa ishara hiyo hiyo.

Inapendekezwa kwamba tuwakubali Sabini wa Maeneo wapya, kama ilivyotangazwa na Kanisa mapema wiki hii.

Wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.

Yeyote anayepinga kwa ishara hiyo hiyo.

Inapendekezwa kwamba tuwakubali kama Urais Mkuu mpya wa Msingi Camille N. Johnson kama Rais, Susan H. Porter kama Mshauri wa Kwanza na Amy A. Wright kama Mshauri wa Pili.

Wale wanaounga mkono wanaweza kuonyesha.

Yoyote anayepinga anaweza kuonyesha.

Inapendekezwa kwamba tuwakubali Viongozi wengine Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa wakuu kama ilivyo sasa.

Wote wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.

Wanaopinga, kama kuna yeyote.

Kwa mara nyingine, tunawaomba wale waliopinga mapendekezo yoyote kuwasiliana na marais wao wa vigingi.

Tunawashukuru kwa imani yenu endelevu na sala kwa niaba ya viongozi wa Kanisa.

Mabadiliko kwa Sabini wa Maeneo

Sabini wa Maeneo wafuatao waliidhinishwa wakati wa kikao cha uongozi kilichofanyika kama sehemu ya mkutano mkuu:

Daniel P. Amato, Rodney A. Ames, Marcelo Andrezzo, Samuel Annan-Simons, Patrick Appianti-Sarpong, Eduardo M. Argana, Steven C. Barlow, Erik Bernskov, Mark E. Bonham, K. Bruce Boucher, Jonathan G. Cannon, Juan P. Casco, Gregorio E. Casillas, Fernando R. Castro, Ranulfo Cervantes, Thomas K. Checketts, Ross A. Chiles, Benjamin Cinco, David C. Clark, Félix Conde, Jorge A. Contreras, Corbin E. Coombs, Moroni Costa, Leandro J. Curaba, B. Corey Cuvelier, Ernesto A. Deyro Jr., J. Kimo Esplin, Tomás Familia, Michael D. Groll, John Gutty, Oleksiy H. Hakalenko, Tommy D. Haws, Levi W. Heath, Brian J. Holmes, Hal C. Hunsaker, Yuichi Imai, Bruce H. Ixcot, Paul H. Jean Baptiste, Dong Hwan Jeong, Frederick M. Kamya, Gaëtan Kelounou, David S. Kinard, Julio E. Lee, R. Darío Lorenzana, Odair José Castro de Lira, Enrique M. Loo, Hernán D. Lucero, Bartolome Madriaga, Douglas P. Maxfield, Héctor Méndez, Steven C. Merrell, Quinn S. Millington, Siegfried A. Naumann, Ricardo J. Nieves, Lorenzo E. Norambuena, Enefiok Ntem, Charles O. Oide, Juan L. Orquera, Roberto C. Pacheco, Damon Page, Franck A. Poznanski, T. Michael Price, Alexandre Ret, Frédéric T. Riemer, Russell A. Robinson, Leonardo S. Rojas, Douglas A. Rozsa, Lee M. Shumway, Robert H. Simpson, Vance K. Smith, Martiniano S. Soquila Jr., Victor H. Suazo, Raul Tapia, Carlos Torres, Bruno E. Vásquez, M. Travis Wolsey na Richard G. Youngblood.