Maktaba
Njooni, Njooni Kwake


Njooni, Njooni Kwake

Ya Dhati

1Alikuja kwetu,alitupenda sana Hakuna

nafsi asiyowe za gusa;

Maisha ya giza,asiyo angaza.

Huzuni majonzi asiyoondoa.

Njoo,njoo Kwake.

Njoo Kwake jifunze kwake.

Mpole mnyenyekevu

mwenye huruma

Njoo,njoo Kwake.

2Kaja duniani kama mwanadamu.

Hakuna hitaji asilolielewa,

Wala maumivu asiyoyajua;

Si nja maumivu,haweziponya.

Njoo,njoo Kwake.

Njoo Kwake jifunze kwake.

Mpole mnyenyekevu

mwenye huruma.

Njoo,njoo Kwake.

3Alipitia huzuni kama sisi;

Kwawaaminio Hutoa msaada Hufungua macho,

Huwasamehe Wanyenyekevu waaminifu,

wamfuatao Njoo,

njoo Kwake.

Njoo Kwake jifunze kwake.

Mpole mnyenyekevu

mwenye huruma.

Njoo,njoo kwake.

Ee, njoo,njoo Kwake.

Maneno na Steven K. Jones

Muziki na Michael F. Moody

© 2016 na Steven K. Jones na Michael F. Moody. Haki zote zimehifadhiwa Wimbo huu unaweza kunakiliwa kwa ajili ya mahitaji, yasiyo ya kibiashara ya matumizi kanisani ama nyumbani.