Vitabu vya Maelekezo na Miito
5 Uongozi wa Juu na wa Eneo


“5. Uongozi wa Juu na wa Eneo,” Kurasa Zilizochaguliwa kutoka kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla (2023).

“5. Uongozi wa Juu na wa Eneo,” Kurasa Zilizochaguliwa kutoka kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla

Picha
Urais wa Kwanza

5.

5 Uongozi wa Juu na wa Eneo

5.0

Utangulizi

Yesu Kristo ni “Jiwe kuu la pembeni” la Kanisa Lake (Waefeso 2:20). Anashikilia funguo zote za Ukuhani. Huwaita mitume na manabii ili kumsaidia katika kazi ya wokovu na kuinuliwa. Yeye hutunukia juu ya hawa watumishi wateule funguo zote ambazo kwa sasa zinahusiana na ufalme wa Mungu duniani. (Ona Mafundisho na Maagano 27:12-13; ona pia 3.4.1 katika kitabu hiki cha maelezo ya jumla.)

Kupitia manabii na mitume, Bwana anawaita wanaume kwenye ofisi ya Sabini kusaidia katika kazi Yake ulimwengunu kote (ona Mafundisho na Maagano 107:38). Kwa nyongeza, Uaskofu Kiongozi, Maafisa Wakuu, na viongozi wengine wanaume na wanawake wanapewa majukumu muhimu kusaidia katika kazi.

Kwa maelezo zaidi ona sura ya 5 katika Kitabu cha Maelezo ya Jumla: Kuhudumu katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho (ChurchofJesusChrist.org).