“Somo la 5: Mambo Mtu Ayapendayo,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Somo la 5,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi
Lesson 5
Hobbies and Interests
Shabaha: Nitajfunza kuzungumza kuhusu kwa nini mtu anapenda au hapendi kitu fulani.
Personal Study
Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi D.
Study the Principle of Learning: Learn by Study and by Faith
Jifunze Kwa Kusoma na Kwa Imani
In EnglishConnect, we rely on God to learn by study and by faith.
Katika EnglishConnect, tunamtegemea Mungu ili kujifunza kwa kusoma na kwa imani.
Mnamo mwaka wa 1832, Joseph Smith na baadhi ya viongozi wa mwanzo wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho walikuwa wameelekezwa kuanzisha shule. Mungu aliwataka wao kujifunza, kukua na kujiandaa kuwaongoza wengine. Hili kundi la waumini hawakuwa na shahada kutoka vyuo vikuu au hata elimu kubwa. Hawakuwa na fedha nyingi au rasilimali. Katika maandiko, Mungu aliwafundisha wao mpangilio wa kujifunza:
“Na kwa vile wote hamna imani, tafuteni kwa bidii na kufundishana maneno ya hekima; ndiyo, tafuteni kutoka kwenye vitabu vizuri maneno ya hekima; tafuteni maarifa, hata kwa kujifunza na pia kwa imani” (Mafundisho na Maagano 88:118).
Mungu hufundisha kwamba tunahitaji kujifunza kwa kusoma, na pia tunahitaji kujifunza kwa imani. Tunafanya bidii yetu yote, na tunamuomba Mungu amtume Roho Wake ili afungue akili zetu na mioyo yetu ili tujifunze. Roho hutupa uelewa zaidi kuliko inavyowezekana peke yetu wenyewe. Kuwa na mwalimu bora au vitabu bora inaweza kusaidia, lakini Mungu anaweza kutufundisha hata kama hatuna vitu hivyo. Tunapojifunza kwa kusoma na kwa imani, Mungu anaweza kutusaidia kujifunza zaidi tunavyoweza kuliko tudhaniavyo.
Ponder
-
Je, tunaweza kufanya nini ili tutafute kujifunza “kwa kusoma na kwa imani.”?
-
Fikiria kuhusu uzoefu wako katika EnglishConnect. Ni kwa jinsi gani Mungu amekusaidia wewe kujifunza?
Memorize Vocabulary
Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno mapya katika mazungumzo au katika ujumbe unaotuma kwa mtu ambaye anajua Kiingereza.
|
because |
kwa sababu |
Verbs
|
exercise |
zoezi |
|
learn English |
Jifunze Kiingereza |
|
play sports |
cheza michezo |
Adjectives
|
boring |
choshwa |
|
cheap |
bei rahisi |
|
dangerous |
hatari |
|
difficult |
ngumu |
|
easy |
rahisi |
|
exciting |
ya kuchangamsha |
|
expensive |
ghali |
|
fun |
burudani |
|
important |
muhimu |
|
interesting |
enye kupendeza |
|
relaxing |
enye kuliwaza |
|
tiring |
enye kuchosha |
|
useful |
enye kufaa |
Practice Pattern 1
Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kusema mipangilio kwa sauti. Fikiria kujirekodi mwenyewe. Zingatia matamshi yako na ufasaha wako.
Q: What do you like to do?A: I like to (verb).
Q: Why do you like to (verb)?A: I like to (verb) because it’s (adjective).
Questions
Answers
Examples
Q: Why do you like to sing?A: I like to sing because it’s fun.
Q: Why doesn’t she like to cook?A: She doesn’t like to cook because it’s difficult.
Q: Why does she like to paint?A: Because it’s relaxing.
Use the Patterns
Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.
Additional Activities
Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 1.
Act in Faith to Practice English Daily
Endelea kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi” . Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.
Conversation Group
Discuss the Principle of Learning: Learn by Study and by Faith
(20–30 minutes)
-
Soma kanuni ya kujifunza ya somo hili kwa sauti.
-
Jadilini maswali.
Activity 1: Practice the Patterns
(10–15 minutes)
Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.
Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:
-
Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.
-
Fanya mazoezi ya kujibu maswali.
-
Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.
Rudia mpangilio wa 2.
Activity 2: Create Your Own Sentences
(10–15 minutes)
Tumia chati. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila mtu. Chukueni zamu. Badilishaneni wenza na mfanye mazoezi tena.
Example: Alex
|
Likes |
Why |
|---|---|
Likes swim | Why easy |
Likes watch movies | Why interesting |
|
Dislikes |
Why |
|---|---|
Dislikes dance | Why difficult |
Dislikes read | Why boring |
-
A: What does Alex like to do?
-
B: He likes to swim.
-
A: Why does he like to swim?
-
B: He likes to swim because it’s easy.
-
A: What doesn’t Alex like to do?
-
B: He doesn’t like to dance.
-
A: Why doesn’t he like to dance?
-
B: He doesn’t like to dance because it’s difficult.
Chart 1: Katya
|
Likes |
Why |
|---|---|
Likes paint | Why important |
Likes garden | Why relaxing |
|
Dislikes |
Why |
|---|---|
Dislikes run | Why tiring |
Dislikes cook | Why difficult |
Chart 2: Dani
|
Likes |
Why |
|---|---|
Likes dance | Why fun |
Likes play sports | Why cheap |
|
Dislikes |
Why |
|---|---|
Dislikes watch TV | Why boring |
Dislikes travel | Why expensive |
Chart 3: Suri
|
Likes |
Why |
|---|---|
Likes watch sports | Why exciting |
Likes play sports | Why difficult |
|
Dislikes |
Why |
|---|---|
Dislikes dance | Why tiring |
Dislikes run | Why difficult |
Chart 4: Your Name
|
Likes |
Why |
|---|---|
Likes | |
Likes |
|
Dislikes |
Why |
|---|---|
Dislikes | |
Dislikes |
Activity 3: Create Your Own Conversations
(15–20 minutes)
Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila mtu. Chukueni zamu. Badilishaneni wenza na mfanye mazoezi tena.
Example
-
A: Do you like to run?
-
B: Yes.
-
A: Why do you like to run?
-
B: I like to run because it’s exciting.
Image 1
Image 2
Image 3
Image 4
Image 5
Image 6
Image 7
Evaluate
(5–10 minutes)
Tathmini maendeleo yako juu ya shabaha na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.
Evaluate Your Progress
I can:
-
Say why I like something.
Sema kwa nini mimi napenda kitu fulani.
-
Say why I don’t like something.
Sema kwa nini napenda kitu fulani.
Evaluate Your Efforts
Tathmini juhudi zako za:
-
Kusoma kanuni ya kujifunza.
-
Kukariri msamiati.
-
Kufanyia mazoezi mipangilio.
-
Kufanya mazoezi kila siku.
kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”
Shiriki lengo lako na mwenzako.
Act in Faith to Practice English Daily
“Kutafuta maarifa kwa kujifunza kwa kawaida huweka akili zetu kazini. Kutafuta kujifunza kwa imani huweka vyote viwili, mioyo yetu na akili zetu kazini. Ni katika mioyo yetu na akili zetu ambapo tutahisi madhihirisho ya Roho Mtakatifu” (Camille N. Johnson, “Seek Learning by Study and by Faith,” BYU-Pathway Worldwide Devotional, October 2021).