EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Kutumia Nyenzo hii ya Sauti


“Kutumia Nyenzo hii ya Sauti,” Kitabukazi cha Sauti cha EnglishConnect 2 (2024)

“Maelekezo,” Kitabukazi cha Sauti cha EnglishConnect 2

marafiki huko Tonga wanasimama pamoja mkono kwa mkono

Kutumia Nyenzo hii ya Sauti

Mafaili haya ya sauti yamesanifiwa ili kukamilisha shughuli za usikilizaji katika Kitabukazi cha EnglishConnect 2 Katika kitabukazi hiki, utapata shughuli zikiwa na alama za ikoni zifuatazo:

Ikoni ya shughuli ya kusikiliza

Ikoni ya Shughuli za Kusikiliza

Piga chapa Kitabukazi

Ili kufaidika kikamilifu na shughuli hizi za kusikiliza, utahitaji nakala kamili ya Kitabukazi cha EnglishConnect2 Jipatie kitabukazi chako kwa kununua nakala iliyopigwa chapa kwenye store.ChurchofJesusChrist.org au pakua toleo la kidijitali kwenye englishconnect.org.

Kwa urahisi wako, utangulizi kamili kutoka katika kitabukazi kilichopigwa chapa umejumuishwa kufuatia sehemu hii kwa ajili ya rejeleo rahisi.