2017
Amini
April 2017


Watoto

Amini

Picha
Trust

Jaribu shughuli hii pamoja na rafiki. Unatakiwa kuamini na kufuata mwongozo wao kwa uangalifu.

Kwa kalamu au penseli katika mkono wako, fumba macho yako. Acha rafiki yako akuambie wapi kwa kuchora macho, pua, mdomo, na nywele katika sura hii. Kisha angalia. Inaonekana namna gani? Unaweza kupaka rangi usoni na kuchora nyingine ili kucheza tena!

Wakati mwingine ni vigumu kufuata maelekezo. Lakini wakati tunapojaribu kumfuata Baba wa Mbinguni kwa kumsikiliza Roho Mtakatifu, Yeye atatusaidia. Tunaweza daima kumwamini Yeye.