2017
Maua Meupe ya Pasaka
April 2017


Maua Meupe ya Pasaka

Picha
Easter lilies activity

Maua meupe mazuri ya Pasaka yaweza kutukumbusha kuhusu ile siku ya ajabu wakati Yesu alipofufuka. Maua meupe matano yamefichika katika picha hii. Kila wakati utakapopata moja, sema kitu kimoja ambacho umejifunza juu ya Yesu.