2013
Ninaweza kuwa Nuru kwa Wengine
Februari 2013


Watoto

Ninaweza kuwa Nuru kwa Wengine

Rais Uchtdorf anasema kuwa ili kuwa nuru kwa wengine, maneno yetu lazima yawe “wazi kama anga ya jua na wingi wa neema.” Maneno yetu yanapaswa yawe ya furaha, uaminifu na wema. Unaweza kufanya au kusema nini ili kuwa nuru kwa wengine? Unaweza kuandika katika jarida lako vitu vitano vizuri unavyopanga kuwaambia wanafamilia au marafiki.