2011
Chukua Changamoto la Shukrani
Desemba 2011


Vijana

Chukua Changamoto ya Shukrani

Hebu tusiseme tu kuhusu kuhesabu baraka zetu, —hebu tufanye hivyo! Andika orodha ya mambo 100 ambayo kwayo unashukuru. Ikiwa hii inaonekana kuwa nyingi zaidi jaribu hili:

  1. Andika aina 10 ya uwezo wa kimwili uliyo na shukrani.

  2. Andika mali 10 uliyo na shukrani kwake.

  3. Andika watu 10 uliyo na shukrani kwao.

  4. Andika watu 10 waliofariki uliyo na shukrani kwao.

  5. Andika vitu 10 kuhusu asili uliyo na shukrani kwavyo.

  6. Andika vitu 10 kuhusu leo ambavyo una shukrani kwavyo.

  7. Andika mahali 10 duniani uliyo na shukrani kwayo.

  8. Andika magunduzi 10 ya kisasa unayo shukuru kwayo.

  9. Andika vyakula aina 10 ulivyo na shukrani kwavyo.

  10. Andika vitu 10 kuhusu injili uliyo na shukrani kwayo.

Tunapotengeneza orodha kama hii, tunagundua kuwa orodha ya 100 hata haijaanza kufunua vitu vyote ambavyo Mungu ametupa.