Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana ya Julai 2025 Bradley R. WilcoxPicha Kubwa ZaidiKaka Wilcox anatambulisha toleo hili la jarida na moja ya dhamira zake. Mzee Gary E. StevensonInjili ya Yesu Kristo: Sauti ya KushangiliaInjili ya urejesho ya Yesu Kristo huleta dhumuni na shangwe kwako katika safari yako kuelekea uzima wa milele. Lizzie PetersenAcha Tuzungumze kuhusu Pesa!Soma maandiko mahali ambapo Yesu alifundisha kuhusu pesa; tumia pesa kujibariki mwenyewe, wengine na kulipa zaka. David A. EdwardsBaada ya Maisha Haya: Majibu kwa Baadhi ya MaswaliHaya ni majibu kwa maswali machache ambayo waumini wachanga wa Kanisa wanaweza kuwa nayo kuhusu maisha baada ya kifo. Sauti za VijanaDora C.Mtumaini BwanaMsichana kutoka Lithuania anazungumza kuhusu jinsi anavyojifunza kumtumaini Bwana licha ya wasiwasi na changamoto. Sauti za VijanaDuy N.Fleti Ndogo, Mipango MikubwaMvulana kutoka Vietnamu anazungumza kuhusu kuhama kutoka nyumba kubwa hadi kwenye fleti ndogo jijini na jinsi alivyopata msukumo kufanya mambo yaliyoleta baraka. MuzikiNik DayUsiwe na ShakaManeno na kiungo kwenye karatasi ya muziki ya wimbo “Usiwe na Shaka”, kutoka kwenye albamu ya Dhima ya Vijana kwa mwaka 2025. Mzee Yoon Hwan ChoiMsaada na Mwongozo kwa ajili ya Wakati Wako UjaoMzee Choi anasimulia jinsi maneno ya nabii yalivyobadilisha maisha yake na jinsi kumtegemea Bwana kunavyoweza kubadilisha maisha yako. Janae Castillo na Emily E. JonesVipaji VilivyofichikaHadithi ya kielelezo kuhusu msichana ambaye haamini kama anacho kipaji chochote. Honey Grace P.Mwanga wa Jua katika Dhoruba ZanguHoney, ni kijana kutoka Ufilipino, anashiriki kuhusu kumpoteza bibi yake, akikabiliwa na mawazo ya kujiua, na kuyashinda kwa msaada wa Mwokozi. Nara M.Mungu Daima Yu pamoja NaweJinsi Nara kutoka Armenia anavyopata nguvu katika Bwana, hata kama ni lazima yeye asimame peke yake. Kutumia MwongozoIvy C.Kushiriki Injili … katika Bustani ya Burudani?Msichana anasimulia hadithi kuhusu jinsi alivyoshiriki mwongozo wa vijana na mvulana wakati alipoona alikuwa akipambana na marafiki. Ungana na … Flavia C. kutoka ArgentinaWasifu mfupi na ushuhuda kutoka kwa Flavia C., kutoka Buenos Aires, Argentina. Michelle Wilson na Daniel TuellerWakati Majaribu Yanapoonekana kuwa Makubwa MnoUnaweza kuona majaribu kwa mtazamo wa milele. Eric D.SniderHazina ZilizofichikaUmaizi kwenye Mafundisho na Maagano 71, 77 na 82. Sehemu ya BurudaniVichekesho vya burudani na shughuli, ikiwa ni pamoja na mafunzo ya bangili, udanganyifu wa macho na mchezo wa kulinganisha. Simone C.Wapi Ninaweza Kupata Tumaini Wakati Mtu Ninayempenda Anapofariki?Simone C. anashiriki hadithi kuhusu kumtegemea Kristo wakati alipokuwa anakabiliana na kifo cha baba yake. BangoYeye ndiye Ufufuo na Uzima.Bango likikuhimiza wewe kumtegemea Kristo katika nyakati za kufiwa. Matumaini na UwezekanoPicha ya Mwokozi yenye mwongozo wa kiungu, na nukuu kutoka kwa Rais Holland. Maswali na Majibu Nina maamuzi mengi makubwa ya kufanya. Je, ni kwa jinsi gani ninapata ufunuo binafsi?Majibu ya swali: “Nina maamuzi mengi makubwa ya kufanya. Ni kwa jinsi gani ninapata ufunuo binafsi? Kwenye HojaJe, ni udanganyifu kunakili kutoka kwenye intaneti au akili mnemba kwa ajili ya kazi za shule?Jibu kwa swali: “Je, ni udanganyifu kunakili kutoka kwenye intaneti au akili mnemba kwa ajili ya kazi za shule?”