“Taa, Kamera, Fanya Tendo,” Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Jan. 2024.
Taa, Kamera, Fanya Tendo
Nina hamu ya kuona sinema hii!
Mimi, pia!
Mm, kuna mambo mengi yasiyo mazuri katika sinema hii.
Ndio, ila ndivyo zinavyotengenezwa siku hizi.
Nadhani nitakwenda kusubiri nje.
Subiri kidogo. Nadhania nitaungana nawe.
Oh, ee, Hannah. Sinema imemalizika?
Hapana, ila nadhani ninyi mko sahihi. Haistahili kutizamwa. Ungependa aiskrimu wakati tuna wasubiri wengine?