Misaada ya Kujifunza
Chati

Matukio katika siku za Mapatriaki wa Mwanzo

Matukio katika siku za Mapatriaki wa Mwanzo

(Kwa sababu ya ugumu katika kujua tarehe halisi ya matukio katika sehemu hii, tarehe hazikutolewa.)

Matukio katika siku za Mapatriaki wa Mwanzo

K.K. (au K.K.K.—Kabla ya Kuzaliwa kwa Kristo)

Matukio katika siku za Mapatriaki wa Mwanzo

4000

Adamu alianguka.

Henoko alihudumu.

Nuhu alihudumu; gharika ikaja duniani.

Mnara wa Babeli ulijengwa; Wayaredi walisafiri kwenda Nchi ya Ahadi.

Melkizedeki alihudumu.

Nuhu alikufa.

Abramu (Ibrahimu) alizaliwa.

Isaka alizaliwa.

Yakobo alizaliwa.

Yusufu alizaliwa.

Yusufu aliuzwa Misri.

Yusufu atokea mbele ya Farao.

Yakobo (Israeli) na familia yake waliteremka kwenda Misri.

Yakobo (Israeli) alikufa.

Yusufu alikufa.

Musa alizaliwa.

Musa aliwaongoza wana wa Israeli kutoka Misri (ndiyo Kutoka).

Musa alihamishwa.

Yoshua alikufa.

Baada ya kufa Musa, kipindi cha waamuzi kikaanza, mwamuzi wa kwanza akiwa Othinieli na wa mwisho ni Samweli; mpangalio na tarehe za waliosalia hazifahamiki kwa uhakika.

Sauli alipakwa mafuta kuwa mfalme.

Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli

Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli

1095

Kuanza kwa utawala wa Sauli.

Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli

1063

Daudi alipakwa mafuta na Samweli kuwa mfalme.

Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli

1055

Daudi akawa mfalme katika Hebroni.

Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli

1047

Daudi akawa mfalme katika Yerusalemu; Nathani na Gadi walitoa unabii.

Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli

1015

Suleimani akawa mfalme wa Israeli yote.

Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli

991

Hekalu lilimalizika kujengwa.

Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli

975

Suleimani alikufa; makabila kumi ya kaskazini yaliasi dhidi ya Rehoboamu, mwanawe, na Israeli ikagawanyika.

Matukio ya Israeli

Matukio ya Yuda

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Matukio ya Israeli

975

Matukio ya Yuda

Yeroboamu alikuwa mfalme wa Israeli.

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

949

Shishaki, mfalme wa Misri, aliiteka Yerusalemu.

Matukio ya Israeli

875

Matukio ya Yuda

Ahabu alitawala katika Samaria juu ya Israeli ya kaskazini; Eliya alitoa unabii.

Matukio ya Israeli

851

Matukio ya Yuda

Elisha alifanya miujiza mikubwa.

Matukio ya Israeli

792

Matukio ya Yuda

Amosi alitoa unabii.

Matukio ya Israeli

790

Matukio ya Yuda

Yona na Hosea walitoa unabii.

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

740

Isaya alianza kutoa unabii. (Rumi inaanzishwa; Nabonasari alikuwa mfalme wa Babilonia katika mwaka 747; Tiglathi-pilesa Ⅲ alikuwa mfalme wa Ashuru tangu mwaka 747 hadi 734.)

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

728

Hezekia alikuwa mfalme wa Yuda. (Shalmanasa Ⅳ alikuwa mfalme wa Ashuru.)

Matukio ya Israeli

721

Matukio ya Yuda

Ule Ufalme wa Kaskazini uliangamizwa; yale makabila kumi yalichukuliwa utumwani; Mika alitoa unabii.

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

642

Nahumu alitoa unabii.

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

628

Yeremia na Zefania walitoa unabii.

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

609

Obadia alitoa unabii; Danieli alichukuliwa mateka utumwani Babiloni. (Ninawi ilianguka katika mwaka 606; Nebukadneza alikuwa mfalme wa Babilonia tangu mwaka 604 hadi 561.)

600

Lehi aliondoka Yerusalemu.

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

598

Ezekieli alitoa unabii katika Babiloni; Habakuki alitoa unabii; Zedekia alikuwa mfalme wa Yuda.

588

Muleki aliondoka kutoka Yerusalemu kwenda nchi ya ahadi.

588

Wanefi walijitenga wao wenyewe na Walamani (kati ya mwaka 588 na 570).

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

587

Nebukadneza aliiteka Yerusalemu.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Matukio katika Historia ya Uyahudi

537

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Koreshi alitangaza kuwa Wayahudi wanaweza kurudi kwao kutoka Babeli.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

520

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Hagai na Zekaria walitoa unabii.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

486

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Esta aliishi.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

458

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Ezra alipewa mamlaka ya kufanya mageuzi.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

444

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Nehemia aliteuliwa kuwa gavana wa Yuda.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

432

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Malaki alitoa unabii.

400

Yaromu alipokea mabamba.

360

Omni alipokea mabamba.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

332

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Iskanda Mkuu aliishinda Shamu na Misri.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

323

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Iskanda alikufa.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

277

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Septaginta, tafsiri ya maandiko ya Kiyahudi katika Kiyunani, ilianza.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

167

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Mathalia Mmkabayo aliasi dhidi ya Shamu.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

166

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Yuda Makabayo akawa kiongozi wa Wayahudi.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

165

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Hekalu lilisafishwa na kuwekwa wakfu upya; Hanuka ikaanza.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

161

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Yuda Makabayo alikufa.

148

Abinadi aliuawa kwa kifo cha kishahidi; Alma alilianzisha tena Kanisa miongoni mwa Wanefi.

124

Benjamini alitoa hotuba yake ya mwisho kwa Wanefi.

100

Alma Mtoto na wana wa Mosia walianza kazi yao.

91

Utawala wa waamuzi ulianza miongoni mwa Wanefi.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

63

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Pompi aliishinda Yerusalemu, utawala wa Makabayo ukaisha katika Israeli, na utawala wa Warumi ukaanza.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

51

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Cleopatra alitawala.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

41

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Herodi na Fasaeli kwa pamoja walifanywa maliwali wa Yuda.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

37

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Herodi akawa kiongozi katika Yerusalemu.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

31

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Vita vya Aktio vilipiganwa; Augusto alikuwa mfalme mkuu wa Rumi kutoka mwaka wa 31 K.K. hadi mwaka wa 14 B.K.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

30

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Cleopatra alikufa.

Matukio katika Historia ya Uyahudi

17

Matukio katika Kitabu cha Mormoni

Herode alirejesha hekalu.

6

Samweli Mlamani alitoa unabii juu ya kuzaliwa kwa Kristo.

Matukio katika Historia ya Ukristo

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Matukio katika Historia ya Ukristo

B.K.

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

B.K.

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Kuzaliwa kwa Yesu Kristo.

Matukio katika Historia ya Ukristo

30

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Huduma ya Kristo ilianza.

Matukio katika Historia ya Ukristo

33

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Kristo alisulubiwa.

33 au 34

Kristo mfufuka alionekana katika Marekani.

Matukio katika Historia ya Ukristo

35

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Paulo aliongolewa.

Matukio katika Historia ya Ukristo

45

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Paulo alifanya safari yake ya kwanza ya kimisionari.

Matukio katika Historia ya Ukristo

58

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Paulo alipelekwa Rumi.

Matukio katika Historia ya Ukristo

61

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Historia ya Matendo ya Mitume ilifungwa.

Matukio katika Historia ya Ukristo

62

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Rumi ilichomwa moto; Wakristo waliteswa chini ya Niro.

Matukio katika Historia ya Ukristo

70

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Wakristo walikimbilia Pela; Yerusalemu ilizingirwa na kukamatwa.

Matukio katika Historia ya Ukristo

95

Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni

Wakristo waliteswa na Domitia.

385

Taifa la Wanefi liliangamizwa.

421

Moroni alificha mabamba.