Watoto na Vijana
Nini Kinafuata?


“Nini Kinafuata?” Mwongozo wa Utangulizi kwa ajili ya Watoto na Vijana wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho (2019)

“Nini Kinafuata?” Mwongozo wa Utangulizi kwa ajili ya Watoto na Vijana wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho

Nini Kinafuata?

Anza Mazungumzo

Zungumza na wazazi na viongozi wako kuhusu jinsi unavyokua katika mambo haya manne na vitu ambavyo ungeweza binafsi kuvifanya ili kuendelea. Kama akidi au darasa, zungumzeni kuhusu shughuli ambazo mngependa kuzifanya kama kundi katika mwaka ujao.

Picha
mama na mtoto wakizungumza