“Kipengele cha 3: Hitimisho—Kuzungumza kuhusu Taratibu Zangu,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Kipengele cha 3,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi
Unit 3: Conclusion
Talking about My Routines
Umekamilisha kipengele cha 3! Sasa unawez kuzungumza kuhusu mada nyingi tofauti katika wakati uliopo na uliopita. Usitosheke na kile ambacho unajua tayari. Una uwezekano wa kujifunza mengi zaidi. “Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata, bisheni, nanyi mtafunguliwa (3 Nefi 14:7).
Evaluate
Evaluate Your Progress
Chukua muda utafakari na kusherehekea yote ambayo wewe umetimiza.
I can:
-
Describe my routines.
Elezea taratibu zako za kila siku.
-
Describe past experiences.
Elezea uzoefu wako uliopita.
Ili kufuatilia maendeleo yako zaidi, nenda kwenye englishconnect.org/assessments na ukamilishe upimaji wa hiyari kwa ajili ya kipengele hiki.
Evaluate Your Efforts
Pitia tena juhudi zako kwa ajili ya kipengele hiki katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.” Je, unafanya maendeleo kuelekea kwenye dhumuni lako? Unaweza kufanya nini tofauti ili kufikia malengo yako?
Endelea kufanya mazoezi ya Kiingereza kila siku unapojiandaa kwa ajili ya EnglishConnect 3.
Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi EnglishConnect inavyoweza kupanua fursa zako, tembelea englishconnect.org.