EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 13: Uzoefu wa Siku za Nyuma


“Somo la 13: Uzoefu wa Siku za Nyuma,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 13,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

watu wakitembea mtaani

Lesson 13

Past Experiences

Lengo: Nitajfunza kusimulia kuhusu uzoefu wa siku za nyuma.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Love and Teach One Another

Pendaneni na Fundishaneni

I can learn from the Spirit as I love, teach, and learn with others.

Ninaweza kujifunza kutoka kwa Roho ninapowapenda, kuwafundisha na kujifunza pamoja na wengine.

Mungu anayo mambo makubwa ambayo Yeye anataka kutufundisha sisi. Yeye anaweza kuzidisha uwezo wetu wa kujifunza kupitia RohoWake. Tunamwalika Roho tunapopendana na kusikilizana. Mungu hutufundisha sisi jinsi inavyokuwa wakati tunapojifunza kwa njia ya Roho:

“Yule ambaye hulipokea neno kwa njia ya Roho wa kweli hulipokea kama vile lihubirivyo na Roho wa kweli[.] Kwa sababu hiyo, yule ambaye huhubiri na yule apokeaye, huelewana, na wote hujengana na kufurahi kwa pamoja” (Mafundisho na Maagano 50:21–22).

Tunaweza kujua Mungu anatufundisha wakati tunapomsikia Roho na kuhisi kujengwa. Roho huleta hisia za upendo, shangwe na amani. Kila mmoja wetu anaweza kutengeneza mazingira ambayo Roho anaweza kufundisha. Tunapotafuta kujifunza kwa njia ya Roho, Mungu anaweza kutusaidia kuelewana na kuhisi shangwe pamoja. Unapojifunza pamoja na kikundi chako cha EnglishConnect, tambua wakati unapojifunza kwa njia ya Roho. Tafuta kuwa na Roho mara nyingi zaidi.

kundi la watu wakitabasamu na kuandika

Ponder

  • Ni lini ulihisi kujengwa na uzoefu wako katika EnglishConnect?

  • Je, unaweza kufanya nini ili kutengeneza mazingira ya kujifunza kwa njia ya Roho?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno. Pata wakati wa kuzungumza na mtu anayejua Kiingereza au tuma ujumbe kwa rafiki kutoka kwenye kikundi chako cha EnglishConnect ukitumia manene mapya.

husband

mume

wife

mke

spouse

mwenzi

When did you … ?

Lini ulifanya … ?

What happened?

Nini kilitokea?

Verbs Present/Verbs Past

become/became parents

kuwa/amekuwa wazazi

begin/began a job

anza/ameanza kazi

finish/finished high school

maliza/amemaliza shule ya upili

get/got a new job

pata/amepata kazi mpya

get/got married

pata/ameolewa

go/went to school

enda/nimeenda shule

graduate/graduated

hitimu/nimehitimu

have/had a baby

pata/nilipata mtoto

have/had a challenging experience

pata/nilipata tukio lenye changamoto

lose/lost a job

Poteza/nilipoteza kazi

meet/met a friend

Kutana/nilikutana na rafiki

move/moved

hama/nilihama

quit/quit my job

acha/nimeacha kazi yangu

save/saved money

Okoa/niliokoa fedha

start/started a business

Anza/nilianza biashara

travel/traveled to New York

Safiri/nilisafiri kwenda New York

turn 18/turned 18*

fikia umri miaka 18/nilifikisha umri miaka 18

*Kumbuka: Tumia turn or turned zungumza kuhusu umri.

Ona somo la 11 na somo la 12 kwa ziada past-tense verbs.

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: When did you (verb present)?A: We (verb past) when we (verb past).

Questions

swali la mpangilio wa 1 wewe unafanya kitenzi wakati ulipop

Answers

jibu la mpangilio wa 1 sisi kitenzi kilichopita pale tunapotenda yaliyopita

Examples

wanandoa wameoana hekaluni

Q: When did you get married?A: We got married after we finished university.

Q: When did she meet her husband?A: She met her husband when she was in high school.

Q: When did he finish school?A: He finished school before he turned 18.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kufanya shughuli ya 1 na ya 2 za kikundi cha mazungumzo kabla ya kikundi chako kukutana.

Q: What happened when you (verb past)?A: When we (verb past), we (verb past).

Questions

swali la mpangilio wa 2 nini kilitokea wakati wewe kitenzi wakati uliopita

Answers

jibu la mpangilio wa 2 wakati sisi kitenzi kilichopita sisi kitenzi kilichopita

Examples

Q: What happened when you got married?A: When we got married, we started a new job.

mama na mwanaye katika picha ya mahafali

Q: What happened after he graduated?A: After he graduated, he got a new job.

Familia ufukweni

Q: What happened after they moved?A: After they moved, they became parents.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Love and Teach One Another

(20–30 minutes)

kundi la watu wakitabasamu na kuandika

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu uzoefu wa kila mtu. Kuwa mbunifu! Chukueni zamu.

New Vocabulary

buy/bought a car

nunua/-linunua gari

go/went to the beach

enda/nilienda ufukoni

university

chuo kikuu

Example: Sara

Image 1: graduate

mhitimu anatabasamu na familia

Image 2: buy a new car

gari jipya la bluu
  • A: When did Sara buy a new car?

  • B: She bought a new car after she graduated from university.

Carlos

Image 1: get a new job

mwanaume katika nguo za kitaalamu akitabasamu

Image 2: move to a different apartment

jengo la vyumba vya kuishi (kupangisha)

Lee

Image 1: turn 20

mwanaume mwenye miwani anacheka

Image 2: travel to another country

mtu amekalia mizigo kwenye uwanja wa ndege

Ji Ah

Image 1: turn 26

mwanamke akiwa katika ofisi ya daktari

Image 2: have a baby

mwanamke amemshika mtoto mchanga

Li Family

Image 1: move to a new city

Mwanamke na watoto wawili kwenye basi

Image 2: go to the beach

familia ikijenga kasri mchangani

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na kujibu maswali kuhusu matukio muhimu katika maisha yako. Unaweza kuzungumza kuhusu matukio muhimu kwenye orodha hii au fikiria juu ya matukio mengine. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

New Vocabulary

rent/rented an apartment

panga/-lipanga nyumba

What did you do then?

Je, kisha ulifanya nini?

Example 1

  • A: When did you finish school?

  • B: I finished school when I was 19.

  • A: When did you get your first job?

  • B: I got my first job after I finished school.

  • A: What happened when you started your job?

  • B: When I started my job, I met an important friend.

  • A: What did you do then?

  • B: We got married!

Example 2

  • A: When I turned 20, I had a challenging experience.

  • B: What happened?

  • A: After I got married, we rented a new apartment. Then after we rented a new apartment, I lost my job.

  • B: Oh wow. That is challenging. What happened after you lost your job?

  • A: After I lost my job, I started a business.

  • B: What did you do then?

  • A: After I started a business, we saved money and then we bought a house.

Orodha ya Matukio Muhimu

  • Started school

  • Finished school

  • Began a job

  • Met an important person

  • Got married

  • Had a child

  • Moved to a new city

  • Went on a trip

  • Had a challenging experience

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Talk about my past experiences.

    Zungumza kuhusu uzoefu wangu wa siku zilizopita.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Ask and answer questions about others’ past experiences.

    Uliza na ujibu maswali kuhusu uzoefu uliopita wa watu wengine.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Weka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Uzoefu wangu umekuwa kwamba Roho wakati mwingi huwasiliana kama hisia. Unahisi katika maneno ambayo yanajulikana kwako, ambayo yanaleta maana kwako, ambayo hukushawishi” (Ronald A. Rasband, “Acha Roho Mtakatifu Aongoze,” Liahona, Mei 2017, 94).