EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 12: Uzoefu wa Siku za Nyuma


“Somo la 12: Uzoefu wa Siku za Nyuma,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 12,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

wanawake watatu wakitembea

Lesson 12

Past Experiences

Shabaha: Nitajifunza kuuliza na kujibu maswali kuhusu mahali ambapo mtu fulani alikuwa.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Take Responsibility

Wajibika

I have the power to choose, and I am responsible for my own learning.

Nina uwezo wa kuchagua, na ninawajibika kwa ajili ya kujifunza kwangu mwenyewe.

Wewe ni wakala; una nguvu ya kuchagua na kutenda kwa ajili yako mwenyewe. Mara nyingi tabia yetu ni kuwasubiri viongozi, walimu, au watu wengine kutuambia nini cha kufanya. Tunataka wao watupe maelekezo ya hatua kwa hatua. Mungu anatutaka sisi tuelewe kwamba kama watoto Wake tuna nguvu ndani yetu ya kufanya chaguzi na kusonga mbele.

Yeye anaelezea kwa watoto Wake “yawapasa kujishughulisha kwa shauku katika kazi njema, na kufanya mambo mengi kwa hiari yao wenyewe, na kutekeleza haki nyingi; Kwani uwezo u ndani yao, ambamo wao ni mawakala juu yao wenyewe.” Na kadiri wanadamu watakavyofanya mema hawatakosa thawabu zao” (Mafundisho na Maagano 58:27–28)

Uwezo u ndani yako. Unaweza kuwajibikaji kwa ajili ya kujifunza kwako. Kama mwalimu ni mgonjwa na hawezi kuja, unaweza kuchagua kufanya mazoezi pamoja na wanafunzi wengine. Kama hauelewi kitu fulani, unaweza kuomba msaada. Kama unahitaji mawazo kwa ajili ya jinsi ya kujifunza vyema, unaweza kuwauliza wanafunzi wengine katika kikundi chako nini kinachofanya kazi kwao. Una uwezo wa kuchagua na kutenda Kwa Mungu, wewe unaamua utajifundisha nini na kuwa.

mwanaume akijifunza kwenye dawati lake

Ponder

  • Je, unaamini jukumu lako ni lipi kama mwanafunzi?

  • Unaweza kufanya nini ili kuwajibika kwa kujifunza kwako wewe mwenyewe?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutengeneza kadi za kunyanyua ili kukusaidia kukariri maneno mapya. Unaweza kutumia karatasi au aplikesheni.

Times

at 10:00 p.m.

saa 4:00 usiku

last night

jana usiku

on Monday

siku ya Jumatatu

two days ago

Siku mbili zilizopita

yesterday morning

jana asubuhi

Nouns

home

nyumbani

school

shuleni

the store

hili duka

work

kazi

Verbs Present/Verbs Past

arrive/arrived late

Fika/alifika amechelewa

call/called my friend

ita/aliitwa rafiki yangu

message/messaged my friend

Ujumbe/alituma ujumbe rafiki yangu

miss/missed class

kosa/alikosa darasa

need/needed bread

hitaji/alihitaji mkate

shop/shopped

nunua/alinunua

want/wanted to play soccer

taka/alitaka kucheza soka

feel/felt sick

hisi/alihisi kuumwa

leave/left the party

acha/aliacha tafrija

take/took a nap

Pata/alipata usingizi

take/took the bus

Panda/alipanda lile basi

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: Where were you (time)?A: I was at (noun).

Questions

swali la mpangilio wa 1 ulikuwa wapi muda

Answers

jibu la mpangilio wa 1 nilikuwa nomino

Examples

Q: Where were you last night?A: I was at home.

Kijana wa kike akijifunza

Q: Where was she on Tuesday?A: She was at school.

Q: Where were you at 10:00 a.m.?A: We were at work.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kutambua mipangilio hii wakati wa mazoezi yako ya kila siku.

Q: Why did you (verb present) (time)?A: We (verb past) because we (verb past).

Questions

swali la mpangilio wa 2 kwa nini wewe ulifanya kitenzi wakati uliopo

Answers

jibu la mpangilio wa 2 sisi kitenzi kilichopita kwa sababu kitenzi kilichopita

Examples

msichana mgonjwa amelala kitandani

Q: Why did you leave the party last night?A: I left the party because I felt sick.

Mwanamke amechoka

Q: Why didn’t she message me yesterday?A: She didn’t message you because she was tired.

Q: Why did they go to the store?A: They went to the store because they needed bread.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Take Responsibility

(20–30 minutes)

mwanaume akijifunza kwenye dawati lake

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Part 1

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu raul na Janet walifanya nini jana. Chukueni zamu.

Example: Raul, 1:00 p.m.
mvulana akipiga mpira wa soka
  • A: Where was Raul yesterday at 1:00 p.m.?

  • B: He was at the park.

  • A: Why did Raul go to the park?

  • B: Because he wanted to play soccer.

Raul

Image 1: 5:00 p.m.

Kupika soseji kwenye jiko la nje

Image 2: 7:00 p.m.

mwanaume analala

Image 3: 9:00 p.m.

watu wakiendeshwa kwenye basi

Image 4: 10:00 p.m.

burudani ya muziki usiku
Janet

Image 1: 11:00 a.m.

mtu anasoma kitabu karibu na mto

Image 2: 2:00 p.m.

Mwanamke ameketi juu ya sofa ukitazama simu

Image 3: 4:00 p.m.

mwanamke akiwa na mifuko ya manunuzi ya dukani

Image 4: 8:00 p.m.

Mwanamke anakula chakula cha jioni

Part 2

Uliza na ujibu maswali kuhusu kile ulichofanya jana saa 5:00 asubuhi, saa 7:00 mchana, saa 10:00 jioni na saa 4:00 usiku. Zungumza kuhusu mahali ulipokuwa na kwa nini. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

New Vocabulary

Why were you at home?

Kwa nini ulikuwa nyumbani?

  • A: Where were you yesterday at 11:00 a.m.?

  • B: I was at home.

  • A: Why were you at home at 11:00 a.m.?

  • B: Because I didn’t have any plans.

  • A: Where were you yesterday at 10:00 p.m.?

  • B: I was at home.

  • A: Why were you at home?

  • B: Because I went to bed.

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na ujibu maswali kuhusu shughuli ulizofanya hivi karibuni. Zungumza kuhusu wapi ulikuwa na kwa nini ulifanya Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

Example

  • A: Where were you last Wednesday?

  • B: I was at the park.

  • A: Why were you at the park?

  • B: Because I wanted to play basketball.

  • A: Where were you yesterday?

  • B: I was at home.

  • A: Why were you at home?

  • B: I was at home because I felt sick.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya shabaha na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask where others were and why they did things in the past.

    Waulize wengine walikuwa wapi na kwa nini walifanya vitu katika siku za nyuma.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about where I and others were and why we did things in the past.

    Zungumza kuhusu ni wapi mimi na wengine tulikokuwa na kwa nini tulifanya vitu siku za nyuma.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Uwezo wa kuchagua upo ndani ya kila mmoja wetu, na hakuna chochote kinachoweza kuiondoa kutoka kwetu. Tunao uwezo wa kuchagua mwelekeo wetu katika maisha” (Harold C. Brown, “The Marvelous Gift of Choice,” Ensign, Des. 2001, 49).