EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 11: Taratibu za Kila siku na Kila Wiki


“Somo la 11: Taratibu wa Kila Siku na Kila Wiki,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 11,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

familia ikipika pamoja

Lesson 11

Daily and Weekly Routines

Shabaha: Nitajifunza kuzungumza kuhusu kile mtu alfanya huko nyuma.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Exercise Faith in Jesus Christ

Tumia imani katika Yesu Kristo.

Jesus Christ can help me do all things as I exercise faith in Him.

Yesu Kristo anaweza kunisaidia kufanya mambo yote ninapoonyesha imani Kwake.

Nefi, alikuwa nabii katika Kitabu cha Mormoni. Alipokuwa kijana, Nefi na kaka zake waliamriwa kwenda kuchukua kitabu kitakatifu. Kitabu hiki kilikuwa muhimu kwa sababu kilifundisha kuhusu mpango wa Mungu na kazi ya Yesu Kristo. Kitabu kilimilikiwa na mtu mwovu aliyeitwa Labani. Nefi na kaka zake walijaribu kukiomba. Labani alisema hapana. Nefi na kaka zake walijaribu kukinunua. Labani alisema hapana na kupora fedha zao zote. Baada ya kushindwa mara mbili, kaka za Nefi walikasirika na walitaka kuacha.

Nefi aliwatia moyo kaka zake kwa kusema: “Twendeni tena Yerusalemu, na tuwe waaminifu kwa kuzishika amri za Bwana; kwani tazama yeye ni mkuu kupita ulimwengu wote” (1 Nefi 4:1).

Tumaini la Nefi katika Mungu lilimsaidia kujaribu mara ya tatu. Mara hii, kwa msaada wa Mungu, alifanikiwa kukipata kitabu kitakatifu. Uzoefu wa Nefi hutufundisha kwamba kujaribu na mara zingine kushindwa ni sehemu ya kutenda jambo gumu. Kujifunza lugha mpya ni vigumu na kunahitaji mamia ya masaa. Labda wewe umejaribu kujifunza Kiingereza hapo awali, na haikwenda vizuri. Labda ulikosa mkutano wako wa kila wiki, au ulisahau kujifunza. Jaribu tena wakati unaposhindwa. Unapotumia imani katika Yesu Kristo, Yeye anaweza kubadilisha kushindwa kuwa ufanisi.

msichana akitabasamu

Ponder

  • Ni kwa jinsi gani tunaweza kuwa kama Nefi na kuendelea kujaribu wakati tunaposhindwa?

  • Ni kwa jinsi gani imani yetu katika Yesu Kristo inatusaidia kujifunza kutokana na kushindwa kwetu?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno kutoka kwenye sehemu ya “Memorize Vocabulary” katika mazoezi yako ya kila siku.

do/did

fanya/-ifanya

Verbs Present/Verbs Past

clean/cleaned my house

safisha/alisafisha nyumbayangu

cook/cooked dinner

pika/alipika chakula

eat/ate dessert

kula/alikula kitinda mlo

exercise/exercised

Zoezi/alifanya mazoezi

go/went to work

Nenda/alienda kazini

make/made bread

Tengeneza/alitengeneza mkate

play/played soccer

cheza/alicheza soka

read/read a newspaper

Soma/alisoma gazeti

stay/stayed home

kaa/alikaa nyumbani

study/studied

soma/alisoma

visit/visited my family

kutembelea/kutembelea yangu familia

watch/watched a movie

angalia/kuangalia tamthilia

work/worked

inafanya kazi/imefanya kazi

Time

a week ago

wiki moja iliyopita

during the weekend

wakati wa wikiendi

last Monday

Jumatatuiliyopita

last week

wiki iliyopita

yesterday

jana

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: What did you do (time)?A: I (verb past) (time).

Questions

swali la mpangilio wa 1 wewe ulfanya nini wakati

Answers

jibu la mpangilio wa 1 mimi nili kitenzi wakati uliopita

Examples

mwanamke ofisini akitabasamu akiwa juu ya dawati

Q: What did you do yesterday?A: I went to work yesterday.

Mchezo wa mpira wa miguu (soka )

Q: What did he do during the weekend?A: He played soccer during the weekend.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kuelewa sheria katika mipangilio. Fikiria jinsi Kiingereza kinavyofanana na au ni tofauti na lugha yako.

Q: When was the last time you (verb past)?A: I (verb past) (time).

Questions

swali la mpangilio wa 2 ilikuwa lini mara ya mwisho wewe kitenzi wakati uliopita

Answers

jibu la mpangilio wa 2 mimi nita kitenzi katika wakati uliopita

Examples

Wanandoa wakiangalia runinga

Q: When was the last time you watched a movie?A: I watched a movie a week ago.

Q: When was the last time he ate dessert?A: He ate dessert yesterday.

Q: When was the last time you visited your family?A: We visited my family last Sunday.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathimini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Exercise Faith in Jesus Christ

(20–30 minutes)

msichana akitabasamu

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Part 1

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila mtu. Chukueni zamu.

Example: Saturday
mwanamke akisoma gazeti
  • A: What did Robyn do on Saturday?

  • B: She read the newspaper.

Image 1: last year

kijana wa kike akijisomea

Image 2: last week

familia wakicheza soka nje

Image 3: during the weekend

kioevu cha kusafisha kikipulizwa

Image 4: yesterday

aiskrimu ya matunda na barafu

Part 2

Tazama picha katika sehemu ya 1. Uliza na ujibu maswali kuhusu ni lini ulifanya shughuli. Chukueni zamu.

Example
  • A: When was the last time you read the newspaper?

  • B: I read the newspaper a week ago.

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na ujibu maswali kuhusu kile ulichofanya. Zungumza kuhusu kila wakati kwenye orodha hapo chini. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

Example

  • A: What did you do yesterday?

  • B: I ate dessert yesterday.

Times

  • yesterday

  • during the weekend

  • a week ago

  • a month ago

  • a year ago

  • last night

  • last Monday

  • last Friday

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya shabaha na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask what others did in the past.

    Waulize watu wengine walifanya nini siku zilizopita.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about what I and others did in the past.

    Zungumza kuhusu mimi na wengine tulikuwa tukifanya nini siku za nyuma.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Kwa sababu ya Yesu Kristo, kushindwa kwetu hakutakiwi kututambulishe sisi. Huweza kutusafisha” (Dieter F. Uchtdorf, “Mungu miongoni Mwetu,” Liahona, Mei 2021