EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo la 10: Taratibu za Kila Siku


“Somo la 10: Taratibu za Kila Siku,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 10,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

wanawake wawili wakicheka

Lesson 10

Daily Routines

Shabaha: Nitajfunza kuelezea taratibu za kila siku na kila wiki.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: You Are a Child of God

Wewe ni Mtoto wa Mungu

I am a child of God with eternal potential and purpose.

Mimi ni mtoto wa Mungu aliye na uwezekano wa kuwa na kusudi la milele.

Wewe ni binti au mwana wa Mungu. Yeye anayo mengi sana anayotaka kukusaidia wewe ujifunze. Yeye anataka kukusaidia wewe ufikie uwezekano wako wa milele. Wakati mwingine hii inaweza kuonekana kama haiwezekani. Katika Biblia, tunasoma kuhusu msichana aliyeitwa Mariamu. Malaika alimtokea na kumwambia kwamba angekuwa mama wa Yesu Kristo, Mwokozi wa kila mmoja. Angeweza kumlea Mwana wa Mungu hapa ulimwenguni kama mtoto wake mwenyewe. Pengine Mariamu alihisi kuzidiwa na kile Baba wa Mbinguni alichomtaka yeye afanye na kuwa, lakini malaika alimwambia:

“Hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu” (Luka 1:37).

Kwa Mungu, lisilowezekana huwa linalowezekana. Mariamu akawa mama wa Mwana wa Mungu. Kama vile Mariamu, Mungu anataka kukusaidia wewe ufikie uwezekano wako na kutimiza madhumuni yako katika maisha. Sali Kwake na mwombe Yeye kitu ambacho Yeye anataka wewe ufanye. Fuata mawazo na hisia unazopokea kutoka kwa RohoWake. Yeye atakuongoza. Pengine unahitaji kujifunza Kiingereza ili upate elimu au ukidhi mahitaji ya familia yako. Kumbuka kwamba “kwa Mungu hakuna lisilowezekana.” Kwa Mungu, wewe unaweza kujifunza Kiingereza. Kwa Mungu, wewe unaweza kufikia uwezekano wako wa kuwa wa milele.

Gabrieli na Mariamu

Ponder

  • Unahisi Mungu anataka wewe ufanye nini?

  • Wakati Mungu anapokualika wewe kufanya mambo ambayo unafikiria hayawezekani, ni kwa jinsi gani unaweza kuchagua kutenda kwa imani?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Tuma ujumbe kwa rafiki kutoka kwenye kikundi chako cha EnglishConnect ukitumia manene mapya,

every

kila

Time

day

siku

week

wiki

weekend

mwisho wa juma

morning

asubuhi

afternoon

mchana

evening

jioni

month

mwezi

Verbs

clean the house

safisha nyumba

do laundry

fua nguo

eat breakfast

kula kifungua kinywa

get dressed

vaa

get up

amka

go dancing

Nenda kucheza

go shopping

Nenda kununua

take a shower

oga

watch videos

tazama video

Adverbs

always

kila mara

usually

kwa kawaida

sometimes

nyakati zingine

never

kamwe

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: What do you do every (time)?A: I (verb) every (time).

Questions

swali la mpangilio wa 1 wewe unafanya kila wakati

Answers

jibu la mpangilio wa 1 mimi nita kitenzi kila wakati

Examples

Q: What do you do every week?A: I do laundry every week.

kichwa cha bomba la kuogea

Q: What do you do every morning?A: I get up and I take a shower.

Q: What does he do on Mondays?A: He goes shopping on Mondays.

wanawake wawili wakicheza dansi nyumbani

Q: What do they do on weekends?A: They go dancing on weekends.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kutumia mipangilio katika mazungumzo na rafiki. Ungeweza kuzungumza au kutuma jumbe.

Q: When do you (verb)?A: I (adverb) (verb) every (time).

Questions

swali la mpangilio wa 2 wewe unafanya kitenzi lini

Answers

jibu la mpangilio wa 2 mimi nita kitenzi katika wakati

Examples

mtu ameshika mfuko ya kununulia vitu

Q: When do you go shopping?A: I always go shopping every week.

Q: When does he take a shower?A: He usually takes a shower every morning.

watu wawili wakisafisha nyumba

Q: When do they clean the house?A: They sometimes clean the house on Fridays.

Q: When does she watch videos?A: She never watches videos.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathimini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: You Are a Child of God

(20–30 minutes)

Gabrieli na Mariamu

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tazama ratiba Uliza na jibu maswali kuhusu Sara na Daniel Chukueni zamu.

New Vocabulary

go to school

enda shule

play computer games

cheza michezo mizuri

work

kazi

Examples

watu wakicheza dansi nje
  • A: What does Sara do on Fridays?

  • B: She goes dancing on Fridays.

mvulana akiangalia tableti
  • A: When does Daniel watch shows?

  • B: He watches shows on Monday, Wednesday, and Friday evenings.

Chart 1: Sara’s Schedule

Ratiba ya Sara ya kila wiki

Chart 2: Daniel’s Schedule

Ratiba ya Danieli ya kila wiki

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na ujibu maswali kuhusu mavazi yako. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

New Vocabulary

exercise

zoezi

play games

cheza michezo

Example

  • A: What do you do every evening?

  • B: I play games and take a shower every evening.

  • A: What do you do on Thursdays?

  • B: I exercise on Thursdays.

  • A: When do you do laundry?

  • B: I usually do laundry on Saturdays.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask about others’ routines.

    Uliza kuhusu taratibu za wengine.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about my and others’ routines.

    Zungumza kuhusu taratibu zangu mimi na wengine.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Jifunze wewe ni nani haswa. Muulize Baba yako wa Mbinguni, katika jina la Yesu Kristo, jinsi Anavyohisi kuhusu wewe na wito wako hapa duniani. Kama utaomba kwa dhamira ya kweli, baada ya muda Roho atanong’ona ukweli unaobadili maisha kwako. Andika misukumo hiyo na urejelee kila mara, na ufuatilie kwa uthabiti.

“Ninakuahidi kwamba unapoanza kupata hata kiwango kidogo tu cha jinsi gani Baba yako wa Mbinguni anavyokuona wewe na nini anachotegemea juu yako kufanya kwa ajili Yake, maisha yako kamwe hayatakuwa yale yale! (Russell M. Nelson, Facebook, Sept 10, 2023, facebook.com/russell.m.nelson).