Kurasa ya Kuchorea
Mchoro na Jared Beckstrand
Yesu Anatembea juu ya Maji
“Wanafunzi walipomwona akitembea juu ya bahari, wakafadhaika, wakisema, Ni kivuli; wakapiga yowe kwa hofu.
“Mara Yesu alinena, akawaambia, Jipeni moyo; ni mimi; msiogope” (Mathayo 14:26–27).