2011
Mafundisho kwa Nyakati Zetu
Novemba 2011


Mafundisho kwa Nyakati Zetu

Masomo katika Jumapili ya nne ya Ukuhani wa Melkizedeki na Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama utazingatia “Teachings for Our Time.” Kila somo linaweza kutayarishwa kutoka kwa moja au zaidi ya hotuba zilizotolewa katika mkutano mkuu wa majuzi sana (ona cheti hapo chini) Marais wa Kigingi na wilaya wanaweza kuchangua ni hotuba gani zitatumika, au wanaweza kutoka jukumu hilo kwa maaskofu na marais wa matawi. Viongozi wanafaa kusisitiza thamani kwa ndugu wa Ukuhani wa Melkizedeki na kina dada wa Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama hotuba sawa sawa katika Jumapili sawasawa.

Wale wanaohudhuria masomo ya Jumapili ya nne wanahimizwa kujifunza na kulete darasani toleo la majuzi kabisa la gazeti ya mkutano mkuu.

Ushauri kwa Matayarisho ya Somo kutoka kwa Hotuba

Omba kwamba Roho Mtakatifu awe na wewe jinsi unayojifunza na kufunza hotuba hizi. Unaweza kushawishika kutayarisha somo kutoka kwa vifaa vingine, lakini hotuba za mkutano mkuu ndio mtalaa ulioidhinishwa. Wajibu wako ni kuwasaidia wengine kujifunza na kuishi injili kama inavyofunzwa kutoka katika mkutano mkuu wa Kanisa wa majuzi kabisa.

Rejelea hutoba hizi, ukitafuta kanuni na mafundisho ambayo yanafaa kwa mahitaji ya washiriki wa darasa. Pia tafuta hadithi, rejeleo za maandiko, na semi kutoka kwa hotuba hizi ambazo zitakusaidia kufunza kweli hizi.

Tengeneza mpangilio wa jinsi ya kufunza hizi kanuni na mafundisho. Mpangilio unafaa kujumuisha maswali ambayo yatasaidia washiriki wa darasa:

  • Tafuta kanuni na mafundisho kutoka kwa hotuba hizi.

  • Fikiria kuhusu maana yake.

  • Shiriki uelewa, mawazo, uzoefu, na shuhuda.

  • Kutumia hizi kanuni na mafundisho katika maisha yao.

Masomo ya Mwezi Yanafunzwa

Vifaa vya Somo la Jumapili ya Nne

Novemba 2011–Aprili 2012

Hotuba zilizochapwa katika November 2011 Liahona*

Mei 2012–Oktoba 2012

Hotuba zilizochaowa katika Mei 2012 Liahona*