2010
Imba Wimbo Wako Mtamu
Juni 2010


Watoto

Imba Wimbo Wako Mtamu

Rais Monson alisimulia juu ya kurumbiza watatu wa Dada McKee Wawili walikuwa rangi njano kote. Walionekana wakamilifu! Wa tatu hakuonekana mkamilifu kwa sababu alikuwa na madoa ya rangi kijivu kwenye mabawa Lakini Dada McKee alimpenda kwa sababu aliimba kwa utamu sana.

Watu wengine wanahisi kuwa wao sio warembo au werevu kama wengine. Lakini kila mtu ana thamani kwa Bwana. Tunaweza kuwa waamimifu, washupavu na kutumia talanta zetu kuwahudumia wengine. Basi sisi tu kama kurumbiza wa rangi njano wenye kijivu kwenye mabawa. Sisi sio kamili, lakini tunaimba nyimbo zetu tamu!

Andika chini njia tatu ambazo unaweza kuimba wimbo wako mtamu kwa Bwana.

Ninaweza kuimba wimbo wangu mtamu kwa Bwana kwa: