Ripoti ya Takwimu, 2014
Kwa taarifa ya waumini wa kanisa, Urais wa Kwanza umetoa ripoti ifuatayo ya takwimu kuhusu ukuaji na hali ya Kanisa kufikia Desemba 31, 2014.
Vitengo vya Kanisa
|
Vigingi |
3,114 |
|
Misheni |
406 |
|
Wilaya |
561 |
|
Kata na Matawi |
29621 |
Waumini wa Kanisa
|
Jumla ya Waumini |
15,372,337 |
|
Watoto Wapya wa rekodi |
116,409 |
|
Waongofu Waliobatizwa |
296,803 |
Wamisionari
|
Wamisionari wa Muda |
85,147 |
|
Wamisionari wa Huduma za Kanisa |
30,404 |
Mahekalu
|
Mahekalu Yaliyowekwa Wakfu katika mwaka wa 2014 (Fort Lauderdale Florida, Gilbert Arizona, na Phoenix Arizona) |
3 |
|
Mahekalu Yaliyowekwa Wakfu Upya (Ogden Utah) |
1 |
|
Mahekalu Yanayotumika Kufikia Mwishoni wa Mwaka |
144 |