Septemba 2026 Mwokozi WanguKazi ya sanaa bora ya Yesu Kristo. Karibuni, Marafiki!Barua kwa watoto na wazazi kuhusu mahekalu. Kutoka kwa Urais wa KwanzaHenry B. EyringKuheshimu Maagano YetuRais Eyring anashiriki ujumbe kuhusu mahekalu na maagano ya hekaluni. Lillian OldhamNdani na NjeBelén anatembelea hekaluni kama mtoto na anahisi kuvutiwa kujiandaa kuingia ndani wakati akiwa mkubwa vya kutosha. Hekalu ni Nini?Maelezo rahisi ya mahekalu kwa ajili ya watoto wadogo. Christine NjabaniSiku ya Hekalu ya JadonJadon anatembelea hekaluni kwa mara ya kwanza. Chakula & BurudaniWatoto wanashiriki picha za mahekalu waliyoyatengeneza, pamoja na mapishi ya kitafunwa kitamu. Harusi MaalumMargo na PauloMargo na Paulo wanazungumza kuhusu mahekalu pamoja na mama yao wakati wakisubiri kwenye viwanja vya hekalu wakati wa kuunganishwa kwa shangazi yao. Sababu 5 za Yesu Kristo Kukutaka Wewe Uje HekaluniShughuli za kuwasaidia watoto kuunganisha hekalu na Yesu Kristo. Njia Yako ya AganoUkurasa wa kupaka rangi unaoonyesha maagano tunayoyafanya (na kuwasaidia wengine kuyafanya) katika maisha yetu yote. Kujifunza kutoka Mkutano MkuuDale G. RenlundKaribu zaidi na Kristo Kupitia MaaganoMzee Renlund anashiriki ujumbe kuhusu kile inachomaanisha kujichukulia jina la Yesu Kristo juu yetu. Juliann DomanKufariji kama YesuErica anajifunza kwamba Baba wa Mbinguni daima anamfikia. Njia kuelekea Kwenye Mchezo wa HekaluMchezo wa kuwasaidia watoto na familia kujifunza kuhusu hekalu na kujiandaa kwenda huko. Mazungumzo na Leiema Kuhusu HekaluLeiema kutoka Samoa ya Amerika anashiriki kuhusu uzoefu wake wa kuleta majina ya familia hekaluni. Kuwa Tayari kwa ajili ya Ubatizo wa Hekaluni!Makala ya kuwasaidia watoto kujiandaa kwenda hekaluni kufanya ubatizo kwa niaba ya wafu. Marafiki Ulimwenguni KoteMkusanyiko wa nukuu za watoto kutoka ulimwenguni kote. Kaye Esplin na Lucy Stevenson EwellWoga wa MajiJinwon anafanya kazi kushinda woga wake wa maji ili aweze kufanya ubatizo hekaluni. Muda wa ShughuliShughuli zenye kiini cha hekalu kwa ajili ya watoto MuzikiKathleen Kelly na Natalie AdamsKuishi Injili ya Yesu KristoKaratasi ya muziki kwa ajili ya wimbo “Kuishi Injili ya Yesu Kristo” Kumfuata Yesu huko UjerumaniKutana na Harris kutoka Ujerumani na ujifunze jinsi yeye anavyomfuata Yesu. Itafute ya Mikono Saidizi!Dubu wa UkarimuShughuli ya Itafute kuhusu watoto wakihudumu huko Brazil. Njoo, Unifuate Njoo, UnifuateBurudani ya Maandiko ya Kila WikiTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Kwa sababu ya Yesu Kristo, Ninaweza Kutubu na Kuwa SafiUkurasa wa kupaka rangi wa mvulana akipitisha sakramenti kwa msichana aliyekaa kwenye benchi la kanisa. Ruthu na NaomiSoma hadithi kuhusu uaminifu wa Ruthu kwa Naomi na kwa Bwana. Maswali ya Kibali cha HekaluniOrodha ya maswali ya kibali cha hekaluni Barua ya RafikiSoma baadhi ya barua kutoka kwa marafiki zetu ulimwenguni kote!