Video na Picha
Huduma Kama ya Kristo kwa Wakimbizi


Huduma Kama ya Kristo kwa Wakimbizi

Akina kaka na akina dada katika sehemu za Afrika wanaelezea vita kali katika Kongo na Kenya na utafutaji wao wa mahali salama. Wanatafuta kimbilio na msaada miongoni mwa Watakatifu wa Siku za Mwisho.